Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
KATIKA kuhakikisha usimamizi madhubuti wa sekta ya mafuta na gesi asilia nchini Tanzania, zipo mamlaka kadhaa za umma ambazo zina majukumu na wajibu mbalimbali kulingana na miundo yake.
FikraPevu inachambua mamlaka tano muhimu ambazo ndizo zinasimamia sekta hiyo kuanzia ngazi ya juu ya utafiti hadi ngazi ya chini ya matumizi pamoja na masoko na usimamizi wa mapato.
Soma zaidi hapa: => Hizi ndizo mamlaka za umma zinazosimamia sekta ya mafuta na gesi Tanzania | Fikra Pevu