King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Dec 31, 2013 #81 sasa babu si najikuta tu niko katikati ya ubishi na mie naanza kubishana? :sad: Dark City said: Halafu na wewe utakubali ukuharibu kweli?? Siwezi kuamini aisee... Babu DC!! Click to expand...
sasa babu si najikuta tu niko katikati ya ubishi na mie naanza kubishana? :sad: Dark City said: Halafu na wewe utakubali ukuharibu kweli?? Siwezi kuamini aisee... Babu DC!! Click to expand...
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,653 Dec 31, 2013 #82 King'asti said: sasa babu si najikuta tu niko katikati ya ubishi na mie naanza kubishana? :sad: Click to expand... Nilitaka kukuuliza swali jingine lakini ngoja tusubiri hadi mwakani.... Nakutakia heri ya mwaka mpya.... Hope you can win any temptation...lol!! Babu DC!!
King'asti said: sasa babu si najikuta tu niko katikati ya ubishi na mie naanza kubishana? :sad: Click to expand... Nilitaka kukuuliza swali jingine lakini ngoja tusubiri hadi mwakani.... Nakutakia heri ya mwaka mpya.... Hope you can win any temptation...lol!! Babu DC!!
AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,403 Dec 31, 2013 #83 hiyo ni Id ya mkuu mmoja humuhumu jamvini.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 14, 2014 #84 ID bomba ni ladyfurahia na Heaven on Earth. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,411 Reaction score 1,153 Jun 6, 2014 #85 kashata said: Id yangu wadau haichekeshi ? Click to expand... Hahahahahahh, hivi ulifikiria nini mpaka ukaamua kujipa hilo jina kashata, mi nazipenda sana hasa zile za ufuta. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kashata said: Id yangu wadau haichekeshi ? Click to expand... Hahahahahahh, hivi ulifikiria nini mpaka ukaamua kujipa hilo jina kashata, mi nazipenda sana hasa zile za ufuta.