Hizi ndio tofauti kati ya malezi ya baba na mama

kuna kaukweli mkuu kidogo mwanaume yuko rafu kutokana na nature yake ya kuumwa na Mungu
 
Mtoto akilelewa na mama shida kwa mtoto.Ila sina nia mbaya na wamama.
 
maisha ya kukaa na baba yana impact zake baadae sana na huwezi kuyaona wakati huo ndoo maana watu wengi huyachukia lakini malezi ya mama unalelewa mayai sana utayafurahia wakati huo lakini hayana mchango mkubwa kivile kwa maisha yako ya baadae wew unaiba hela unatandikwa na babako ukienda kulala unakuta umefichiwa chakula na mama sindo kubomoa huko malezi mabaya hua yanaanza ya bb na babu ndo yanafuatia ya mama kwa ubaya nakumbka zaman nikiwa mdogo kuna kipindi tulikwama sehemu tupo na family nzima tukiwa tumebeba chakula cha kutufikisha angalau kunakokwenda nilikuwa napenda sana kutembea na mzee japo kunigeuka na kichapo juu ilikuwa ni kugusa tumeenda mpaka centa ya jirani tumerudi tumechoka tulipofika wenzetu wamekula chakula chote tukaambiwa tulijua mtakula huko huko nilitaman nilie nigalegale kwa ubao ghafla mushua akaniita maana alianza kuiona nmechange nilipewa sifa za kijinga kweli maneno mengi but nakumbka machache ''mwanangu sisi wametumalizia wakijua wanaume ko ukitaka uwe mwanaume lazima uvumilie kweli kweli'' hii statemant ipo kichwani mpka leo sio kwa chakula hata mambo huwa nikumbka ndo morali yangu aisee kitu kingine wazaz wa kiume hupenda sana watoto wao kuadopt behavior zao wew ukienda kwa babaako umepigana af ukapigwa utaenda home utatwagwa kichapo kingine lakin ukienda umepigana ukapiga mwenzio utapigwa kuua so la wazaz wakitoka tu utaski mwanangu wew hatari umelitandika lile bonge nyanya kaoge sasa mtanipinga but asilimia kubwa walolelewa na single maza hukua wakinyweshwa sumu pole pole mara baako alinitelekeza ohh sijui nn uongo mwingi lakin mwisho wa siku kumbe mkosefu ni yeye lakin kwa waliokuzwa na baba hakuna kitu kaa hcho tena hutosikia anaweza sikia kwa shangaz zake na ndug lakin c kwa mshua over
 
Mwanangu anapigwagwa na babake mpka huruma naishia kumkanda tu na kumchemshia mayai.
Na hivi si mwanangu wa kumzaa ukimtetea au ukiongea tu utasikia baadae rum ndo unataka kupendwa na mtoto wa kambo??haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…