Hizi ndio tofauti kati ya malezi ya baba na mama

Ushuhuda wa kujishuhudia ni mara chache sana kukuta umezingatia
vigezo,ushuhuda halisi ni ule unaoshuhudiwa na wengine.
kama kila mtu angejijua madhaifu yake angejirekebisha siku hiyo hiyo.
Ndo maana ni muhimu kukubali kukosolewa maana si rahisi
ukayafahamu mapungufu yako

Wengi waliolelewa na mama peke yake ni walegevu.
na waliolelewa na baba peke yake ni wakakamavu
mpaka inakuwa kero,ndo maana Mungu akaweka
familia iwe na baba na mama,ukiachilia mbali bahati
mbaya zinazosababisha baadhi kukosa mzazi kwa kufiwa.
Fid Q, Diamond, Mwana Fa, marehemu Kanumba, etc...wote hawa walilelewa na mama zao, hawa ni walegevu?
au toa mifano yako kuunga hoja yako sio kuongea kwa hisia hapa
 
Fid Q, Diamond, Mwana Fa, marehemu Kanumba, etc...wote hawa walilelewa na mama zao, hawa ni walegevu?
au toa mifano yako kuunga hoja yako sio kuongea kwa hisia hapa
Sasa wewe unaona kuna mwenye roho ngumu hapo au umeangalia sura.
 
na je kuna ukweli kwamba kina mama wanapenda watoto wa kiume na kina baba wanapenda watoto wa kike?
 
Nakumbuka nikiwa form 1 siku nimeenda kwa sebre kumuuliza mzee kuhusu kunitafutia baiskeli ya kwendea shule, maana ilikuwa mbali kidogo kama 6km hivi.

Akanijibu-mimi sikununulii baiskeli ili uwe na hasira ujue hamna kitu mwanaume anapata kizembe zembe.waambie mademu zako kama wanazo baiskeli wakupe lifti kila siku.baiskeli sitanunua.

Mpaka namaliza form four napiga mguu mpaka shule.
 
maisha ya kukaa na baba yana impact zake baadae sana na huwezi kuyaona wakati huo ndoo maana watu wengi huyachukia lakini malezi ya mama unalelewa mayai sana utayafurahia wakati huo lakini hayana mchango mkubwa kivile kwa maisha yako ya baadae wew unaiba hela unatandikwa na babako ukienda kulala unakuta umefichiwa chakula na mama sindo kubomoa huko malezi mabaya hua yanaanza ya bb na babu ndo yanafuatia ya mama kwa ubaya nakumbka zaman nikiwa mdogo kuna kipindi tulikwama sehemu tupo na family nzima tukiwa tumebeba chakula cha kutufikisha angalau kunakokwenda nilikuwa napenda sana kutembea na mzee japo kunigeuka na kichapo juu ilikuwa ni kugusa tumeenda mpaka centa ya jirani tumerudi tumechoka tulipofika wenzetu wamekula chakula chote tukaambiwa tulijua mtakula huko huko nilitaman nilie nigalegale kwa ubao ghafla mushua akaniita maana alianza kuiona nmechange nilipewa sifa za kijinga kweli maneno mengi but nakumbka machache ''mwanangu sisi wametumalizia wakijua wanaume ko ukitaka uwe mwanaume lazima uvumilie kweli kweli'' hii statemant ipo kichwani mpka leo sio kwa chakula hata mambo huwa nikumbka ndo morali yangu aisee kitu kingine wazaz wa kiume hupenda sana watoto wao kuadopt behavior zao wew ukienda kwa babaako umepigana af ukapigwa utaenda home utatwagwa kichapo kingine lakin ukienda umepigana ukapiga mwenzio utapigwa kuua so la wazaz wakitoka tu utaski mwanangu wew hatari umelitandika lile bonge nyanya kaoge sasa mtanipinga but asilimia kubwa walolelewa na single maza hukua wakinyweshwa sumu pole pole mara baako alinitelekeza ohh sijui nn uongo mwingi lakin mwisho wa siku kumbe mkosefu ni yeye lakin kwa waliokuzwa na baba hakuna kitu kaa hcho tena hutosikia anaweza sikia kwa shangaz zake na ndug lakin c kwa mshua over
E bwanae; unatisha. Maelezo yote hayo ni sentensi moja maana sijaona nukta (fullstop)!
 
Wen scars become wide,
Nothing seems on ur side,
That's wen u r learning to fight,
in the process of lyf,
Wen u knw u r alone ,
With strangers so known, Just believe that u can make turn the stride,
that's d moment u learned that this is life !!
 
Mm nimelelewa na baba ufuatiliaji ni zero muoge,msioge au mmrkula hamjala,usiombe sasa mama wa kambo akusemee umevunja glass utakoma
 
Back
Top Bottom