Hizi ndio sifa za kila...........!

Hizi ndio sifa za kila...........!

KILITIME

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Posts
265
Reaction score
18
Hizi ndio sifa za kila mkoa Tanzania!
DAR-Utapeli
ARUSHA-ustaarabu
MBEYA- matukio ya ajabu
MWANZA-fujo
TANGA- mapenzi
MORO- Starehe
DOM- kuomba
IRINGA-kujinyonga
RUVUMA-pombe
RUKWA- uchawi
TABORA-Mikosi
SHINYANGA-njaa
SINGIDA-upole
KAGERA- misifa
LINDI- waoga
KIGOMA- Ubishi
PWANI- uvivu
MTWARA- hasara
KILIMANJARO- ubahili
SONGEA- hasira
MANYARA- utajiri
GEITA- presha
SIMIYU- maradhi
NJOMBE- haraka
KATAVI- aibu
haya mwezangu we wa wapi??
 
KILITIME kwanini unatuletea thread ya KOKUTONA ya juzi hapa? Kwanini usitunge thread yako mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
we jidanganye arusha tuna ustarabu.karibu unga l.t.d ,matejo ,ngarenaro,na maeneo ya pembezoni uone ustarabu beto.
Kilimanjaro unatuchokoza wapare tutakutoa humu
 
we jidanganye arusha tuna ustarabu.karibu unga l.t.d ,matejo ,ngarenaro,na maeneo ya pembezoni uone ustarabu beto.
Kilimanjaro unatuchokoza wapare tutakutoa humu

hivi mkiva hiyo
sifa ya kilimanjaro
kwani ni uongo?angeongeza na utaftaji pia!

Last edited by a moderator:
Mbone sie wa Unguja na Pemba hatupo? Kwani sisi sio sehemu ya Tanzania? Nasi tipewe misifa yetu!!!
 
Mbone sie wa Unguja na Pemba hatupo? Kwani sisi sio sehemu ya Tanzania? Nasi tipewe misifa yetu!!!

UNGUJA- urojo kwa saana
PEMBA- kwa supu ya pweza hao mmh na msimamo mkali
 
Back
Top Bottom