Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Corona haichagui hata Chato itafika tu.Mmmmh,mbona yeye kajificha chato na kuikacha ikulu?
Ikifika huko atatafuta nchi ambayo iko clean na ataenda kupumzika huko!Corona haichagui hata Chato itafika tu.
Tutaangalia nchi ambazo Pompeo hajaweka piniIkifika huko atatafuta nchi ambayo iko clean na ataenda kupumzika huko!
Wateja wenyewe si nyinyi tutaburudika pamojaItaanza na wewe hapo corner Bar sinza
Lockdown inaendeleaje hapo kwa Mtogole?Wateja wenyewe si nyinyi tutaburudika pamoja
Uhai wa watu ni bora kuliko hivyo alivyo vitajaHizi ndio baadhi ya sababu alizotaja Bwana mkubwa za kutofunga mipaka/kuwa na lockdown
1.Ambulance zitashindwa kusafirisha wagonjwa
2.Ujenzi wa SGD utakwama
3.Ujenzi wa Stieglers Gorge utakwama
4.Mizigo haitasafirishwa kupitia bandari ya Dar-es-salaam na hivyo tutakosa mapato
5.Nchi zinazotuzunguka na zinazotegemea bandari yetu kusafirisha mizigo zitaathirika na kwamba tungewaua kama tungefunga mipaka.
6.Vifaa vya kutengeneza mabarabara visingesafirishwa
Hayo ni baadhi niliyoyakumbuka baada ya kumsikia akiongea kupitia TBC1 katika kipindi cha "JAMBO" asubuhi hii na kasisitiza watu wachape kazi na corona isitumike kama kisingizio ila akasisitiza tuchukue tahadhari.
Sasa sijui ni kwanini ile Press realease haijataja baadhi ya haya aliyoyatamka.
Mods kama mtafuta au kuunganisha huu uzi,basi wawekeni watu clip ya alichosema.
Sisi wauza vyakula tunaendelea kupiga kazi, tunahimizwa tu kuvaa barakoa.Lockdown inaendeleaje hapo kwa Mtogole?
Tunawajengea SurvivesNchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Muwe makini msiue wateja wenu wazeeSisi wauza vyakula tunaendelea kupiga kazi, tunahimizwa tu kuvaa barakoa.
1. Anataka corona ifike October uchaguzi usiwepo.
Hofu ya jiwe ni uchaguzi, corona anaiona kama neema kwake.
Lockdown inaendeleaje hapo kwa Mtogole?
Hao Marekani na Kenya na wengine waliojifungia ndani mbona rate ya maambukizi ndio inazidi kuongezeka?? US walivyoanza kujifungia zilikuwa cases chache sana, sasa hivi wako half a million na bado wameongeza mwezi zaidiUhai wa mwananchi ni muhimu kuliko vitu vyote hivyoo
Ng'ombe na mbuzi wasafiri salama bila shida wala mikwaruzo. Mabehewa yaliyoterekezwa mwanza, dodoma na kila mahali yatasafirisha ili tupate pesa za waarabu wakati tumeishatangulia kuzimu. Amuulize PM wa UK aliupataje.Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?