Hizi ndio sababu za kutofunga mipaka na kuweka movement restrictions

Mipumbavu isiyo na ishu za kufanya wanaitamani sana hiyo lockdown..

Hakuna mwenye shughuli muhimu ya kumuingizia pesa akataka huo ujinga, Rais ana real informations kutoka kwenye mamlaka zake mbali mbali so mpaka anasema hayo atakuwa anaujua ukweli halisi..
Kweli na ndio maana ata shule zinafika kuanza
 
Hawaendi sawa, anayetembea haraka na anayekimbia, hata kama unatembea haraka kiasi gani nami nakimbia taratibu bado hatutafanana abadani.

Ndio anayekimbia yawezekana akachoka na kuamua kutembea kwa muda lakini gape haliwezi kuwa sawa na Lile la mwanzo lazima litakua limepungua.

Tusife moyo tujipe Imani kwani tulipo sisi na walipo wao gape ni kubwa wakati ni huu tulipunguze kwa style hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Ukifunga mipaka bado kuna movements unazoweza kuruhusu ziendelee. Vitu kama mizigo na shughuli muhimu zinaweza kuendelea kuwepo ila zile movements zisizo na ulazima zikafungiwa.
 
Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
Hapa anacheza na survival for the fittest,the law of the jungle.
Kwa mpango huu watu wenye upungufu wa kinga ya kimwili kama wazee,watoto wachanga na wale wenye pumu,kisukari,cancer,BP,Kifua kikuu n.k watafutwa kwenye daftari.
Huu mchezo ni hatari sana.Mungu tusaidie.
 
Serikali itangaze lockdown ya hiyari. Anayeweza kujiweka lockdown na familia yake afanye hivyo. Hata Rais ninaamini kajiweka lockdown huko kijijini Chato. Kaona mziki wa Dar hatauweza kakimbilia Chato yeye na ofisi yake yote.
 
hujazuiwa,unaweza kujipa lock down yako mwenyewe, sio mpaka usubiri serikali.
Hata mimi nashangaa, watu wanapiga kelele wakati unaweza kujipa lockdown mwenyewe. Mbona kuna kampuni nyingi zimepumzisha watu wao?
 
Wanasogeza tu magoli.. Walituambia hii April mwanzoni tutaanza kuteketea, sasa hivi wanasema data zinafichwa, ukiwauliza kama kwao Au hata kwa jirani kuna mgonjwa hawana majibu..
Imagine alivyokufa mgonjwa wa kwanza kila mtu alijua, hao wengine data zao zinazofichwa hawana ndugu,jamaa,marafiki au hata majirani?
 
Umeshachukua tahadhali umejifungia ndani au unasubili tamko la serikari?

Nchi zinazojali raia wake zimetoa kipaumbele kwa uhai wa raia kuliko mapato ya nchi. Raia ndiyo uchumi wenyewe. Ukipoteza raia STandard gauge unamjengea nani?
 
Imagine alivyokufa mgonjwa wa kwanza kila mtu alijua, hao wengine data zao zinazofichwa hawana ndugu,jamaa,marafiki au hata majirani?
Watanzania wanavyopenda udaku na umbeya tungejua tu.. Ila naona watu kimyaa
 
Serikali itangaze lockdown ya hiyari. Anayeweza kujiweka lockdown na familia yake afanye hivyo. Hata Rais ninaamini kajiweka lockdown huko kijijini Chato. Kaona mziki wa Dar hatauweza kakimbilia Chato yeye na ofisi yake yote.
Hii huna haja ya kutangaziwa. Mimi binafsi naenda gengeni kwangu mara tatu tu kwa wiki. Hapa nilipo tangu nimeingia ndani alhamisi sijatoka nategemea kutoka jumanne nikaangalie usalama gengeni kwangu then narudi kujificha. Haihitaji serikali kukwambia kaa ndani, mabadiliko yanaanza na wewe.
 
Hongera sana. Binafsi nimewashauri ndugu zangu wote waliopo mikoani wasiende mijini na walioko mijini wasiende mikoani. Kama ni maambukizi yabakie kwenye eneo moja yasisambazwe na familia au ndugu.

Tuchukue tahadhari kwa kiwango cha juu kabisa.
 
Back
Top Bottom