Hizi ndio mbwembwe za bodaboda..

hawa jamaa huwa wanahisi upenyo wowote wanaweza katisha ni wapuuzi sana....sema dogo kanipa raha anafurahi anavyo lala nayo anajikuta fundi sana
 
Huwa nawazaga chanzo cha wao kuwa hivyo na sijapataga jibu mpaka leo.

Yaani waeza kutana na kituko toka kwa bodaboda mpaka ukajiuzila ni akili gani inamuongoza kwa wakati ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…