Hizi ndio kura CCM hawazitaki!

Hizi ndio kura CCM hawazitaki!

TeamLowassa

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
1,495
Reaction score
937
1. Kura za wagonjwa. Refer kauli ya Makongoro Nyerere mmoja wa wana kampeni wa CCM. Na ni kweli CCM hawafanya vizuri katika sekta ya afya.

2. Kura za wale wasio na elimu ama wanaofanana na wasio na elimu (wapumbavu). Refer kauli ya Mkapa. Na kweli CCM mtaji wao mkubwa siku zote ni hapa kubana fursa za watanzania kupata elimu ili waendelee kuwa wapumbavu daima.

3. Kura za wale wote waliokatwa mbio za urais(makapi, oil chafu). Refer kauli ya Kinana na Nape

4. Kura za wasio na hela/kipato kinachoeleweka (malofa). Refer kauli ya Mkapa. Na kweli CCM wanafanya makusudi watanzania wasimilike mkwanja ili malofa wazidi kuongezeka kila siku

5. Kura za wafanyakazi. Refer kauli ya kikwete mwaka 2010. Alisema hata kama wasiwapa kura hatishiki. Na kweli ccm inawakamu wafanyakazi vizuri sana. PAYE za kufa mtu, mshahara mdogo, kila sehemu mfanyakazi anabanwa.

6. Kura za walimu. Hawa ni 'punching bag' ya serikali. Walimu wanawadai malimbikizo ya kufa mtu, pia kupandishwa madaraja. Hapa achana na mazingira magumu ya kazi. Mara wamekatwa hela za maabara bila ridhaa yao. Sekta hii ina hekaheka nyingi sana.

7. Madereva. Hawa wana mgomo wa kimya kimya. Serikali inawaingiza mkenge mara kwa mara. Ajira zao hazieleweki.

8. Kura za Wanafunzi. Hawa ni punching bag ya serikali, kama walivyo walimu. Mara allocation ya boom imeenda sivyo! Mara wamecheleweshea, japo boom yenyewe ni ndogo sana, haikidhi. Michango mashuleni ni kama kukomoana na wazazi.

9. Kura za Vijana. Hawa ndio balaa kubwa. Wamesoma lakini hawana ajira. Kila mbinu wanayotimua kujimwamua lazima wakutane na jiji. Wasio na elimu kila wakijitahidi kukuruka, lazima wakutane uso kwa uso na jiji. Hili ni bomu linalopua, muda wowote hulipuka.

10. Kura za Mama Ntilie. Hawa kila siku wapo mikononi mwa jiji. Vyombo vyao, mitaji yao waliokopa vikoba huishia mikononi mwa jiji

11. Kura za Madereva wa bodaboda. Kila siku wanawindwa kama digidigi. Wanafanya biashara zao kwa kuvizia. Hawajiamini. Jiji wapo nao, trafiki wapo nao.

12. Kura za Wazee. Hawa wamesomesha watoto wao. Wamelea watoto wao kwa taabu lakini serikali haiwatengenezei fursa za kujikwamua ili kuwasaidia wazee wao. Wana hasira za CCM. Wazee wametelekezwa. Hapa sijawataja wa iliyokuwa afrika ya mashariki. Walipigwa washawasha za maana pale salender bridge!

13. Kura za Madaktari na manesi. Sitaki kuwakumbusha kadhia ya Dr Ulimboka.

14. Kura za Waandishi na Wahariri wa habari. Mwangosi (rip) hajasahauliki bado. Kibanda hajasahaulika bado. Yale mabomu waliopigwa siku Dr Slaa anaenda central police dsm hayajasahaulika bado. Mswada wa vyombo vya habari haujasahaulika bado.

15. Kura za Wakulima. Hakuna kuuza chakula nje ya nchi. Serikali imenunua mazao kwa wakulima halafu haiwalipi. Migogoro isiyoisha na wafugaji. Wakulima wana hasira sana

16. Kura za Wafugaji. Hawa wapo kimya kimya lakini wapo. Kiteto? Aaah wapi wanakumbuka sana.

17. Kura za Malofa. Hawa hawana hela, wanakula mlo mmoja kwa siku kwa mbinde. Wao maisha ni magumsahi. Hela hawana! Elimu hawana! Wapo wapo! Wamefeli maisha.

18. Kura za Wajawazito na waume zao. Wanakojifungulia wanajua wenyewe mazingira na adha wanazozipata. Vichanga vyao vinakufa mahospitalini bila sababu ya kueleweka. Simply, 'poor medical care'.

19. Kura za Wafanyabiashara wadogowadogo. Kugoma dsm? Kugoma Mwanza? Kugoma Mbeya? Kugoma dodoma? Aaahh buana wewe hakuna aliyesahau. Wana chuki na CCM.

20. Kura za Wafanyabiashara wakubwa. Mfumo wa uendeshaji wa biashara kwa hapa Tanzania haupo 'fair'. Serikali inawahujumu. Bandari ni kichaka kikubwa sana. Wale walio karibu na 'system' hupata wepesi, ila kama upo mbali na system imekula kwao!

21. Kura za Walemavu. Hawa nchi hii hawana chao. Wanadanganywadanganywa kama mazezeta

22. Kura za wasanii. Hawa kazi zao haziwanufaisha kwa ujumla wake. Japo wanaonekana kutumika kwenye majukwaa ya ccm lakini kura hawatawa.

Makundi ni mengi sana ambayo hayajaridhishwa na uwepo wa CCM madarkani kwa muda wa miaka 54!

Naona jizi kapasua pochi thread kumikumi vijana mmecharuka du! lowassa kuwa rais ndoto ndoto
 
Hata kama kova amruhusu mgombea atembee kwa miguu kila mtaa majiji yote tanzania kura zao hazitatosha kwani sie wapiga kura wengi tupo vijijini na kila kaya ni wananchi wa kawaida wasio hata kuijua chips mayai hesabu haidanganyi.dr.magufuli anapiiia kila kijiji kwa kutumia gari usafiri wa watu walozoea kuona na sio helikopta ambayo wataita mafuriko kumbe watu wataenda kuishangaa helikopta kisha kura ni kwa dokta tingatinga ccm imezaliwa upya ni kipi cha ajabu ukawa watawaletea watanzania kama sio mkanganyiko
 
1. Kura za wagonjwa. Refer kauli ya Makongoro Nyerere mmoja wa wana kampeni wa CCM. Na ni kweli CCM hawafanya vizuri katika sekta ya afya.

2. Kura za wale wasio na elimu ama wanaofanana na wasio na elimu (wapumbavu). Refer kauli ya Mkapa. Na kweli CCM mtaji wao mkubwa siku zote ni hapa kubana fursa za watanzania kupata elimu ili waendelee kuwa wapumbavu daima.

3. Kura za wale wote waliokatwa mbio za urais(makapi, oil chafu). Refer kauli ya Kinana na Nape

4. Kura za wasio na hela/kipato kinachoeleweka (malofa). Refer kauli ya Mkapa. Na kweli CCM wanafanya makusudi watanzania wasimilike mkwanja ili malofa wazidi kuongezeka kila siku

5. Kura za wafanyakazi. Refer kauli ya kikwete mwaka 2010. Alisema hata kama wasiwapa kura hatishiki. Na kweli ccm inawakamu wafanyakazi vizuri sana. PAYE za kufa mtu, mshahara mdogo, kila sehemu mfanyakazi anabanwa.

6. Kura za walimu. Hawa ni 'punching bag' ya serikali. Walimu wanawadai malimbikizo ya kufa mtu, pia kupandishwa madaraja. Hapa achana na mazingira magumu ya kazi. Mara wamekatwa hela za maabara bila ridhaa yao. Sekta hii ina hekaheka nyingi sana.

7. Madereva. Hawa wana mgomo wa kimya kimya. Serikali inawaingiza mkenge mara kwa mara. Ajira zao hazieleweki.

8. Kura za Wanafunzi. Hawa ni punching bag ya serikali, kama walivyo walimu. Mara allocation ya boom imeenda sivyo! Mara wamecheleweshea, japo boom yenyewe ni ndogo sana, haikidhi. Michango mashuleni ni kama kukomoana na wazazi.

9. Kura za Vijana. Hawa ndio balaa kubwa. Wamesoma lakini hawana ajira. Kila mbinu wanayotimua kujimwamua lazima wakutane na jiji. Wasio na elimu kila wakijitahidi kukuruka, lazima wakutane uso kwa uso na jiji. Hili ni bomu linalopua, muda wowote hulipuka.

10. Kura za Mama Ntilie. Hawa kila siku wapo mikononi mwa jiji. Vyombo vyao, mitaji yao waliokopa vikoba huishia mikononi mwa jiji

11. Kura za Madereva wa bodaboda. Kila siku wanawindwa kama digidigi. Wanafanya biashara zao kwa kuvizia. Hawajiamini. Jiji wapo nao, trafiki wapo nao.

12. Kura za Wazee. Hawa wamesomesha watoto wao. Wamelea watoto wao kwa taabu lakini serikali haiwatengenezei fursa za kujikwamua ili kuwasaidia wazee wao. Wana hasira za CCM. Wazee wametelekezwa. Hapa sijawataja wa iliyokuwa afrika ya mashariki. Walipigwa washawasha za maana pale salender bridge!

13. Kura za Madaktari na manesi. Sitaki kuwakumbusha kadhia ya Dr Ulimboka.

14. Kura za Waandishi na Wahariri wa habari. Mwangosi (rip) hajasahauliki bado. Kibanda hajasahaulika bado. Yale mabomu waliopigwa siku Dr Slaa anaenda central police dsm hayajasahaulika bado. Mswada wa vyombo vya habari haujasahaulika bado.

15. Kura za Wakulima. Hakuna kuuza chakula nje ya nchi. Serikali imenunua mazao kwa wakulima halafu haiwalipi. Migogoro isiyoisha na wafugaji. Wakulima wana hasira sana

16. Kura za Wafugaji. Hawa wapo kimya kimya lakini wapo. Kiteto? Aaah wapi wanakumbuka sana.

17. Kura za Malofa. Hawa hawana hela, wanakula mlo mmoja kwa siku kwa mbinde. Wao maisha ni magumsahi. Hela hawana! Elimu hawana! Wapo wapo! Wamefeli maisha.

18. Kura za Wajawazito na waume zao. Wanakojifungulia wanajua wenyewe mazingira na adha wanazozipata. Vichanga vyao vinakufa mahospitalini bila sababu ya kueleweka. Simply, 'poor medical care'.

19. Kura za Wafanyabiashara wadogowadogo. Kugoma dsm? Kugoma Mwanza? Kugoma Mbeya? Kugoma dodoma? Aaahh buana wewe hakuna aliyesahau. Wana chuki na CCM.

20. Kura za Wafanyabiashara wakubwa. Mfumo wa uendeshaji wa biashara kwa hapa Tanzania haupo 'fair'. Serikali inawahujumu. Bandari ni kichaka kikubwa sana. Wale walio karibu na 'system' hupata wepesi, ila kama upo mbali na system imekula kwao!

21. Kura za Walemavu. Hawa nchi hii hawana chao. Wanadanganywadanganywa kama mazezeta

22. Kura za wasanii. Hawa kazi zao haziwanufaisha kwa ujumla wake. Japo wanaonekana kutumika kwenye majukwaa ya ccm lakini kura hawatawa.

Makundi ni mengi sana ambayo hayajaridhishwa na uwepo wa CCM madarkani kwa muda wa miaka 54!

RAISI WA WATU WOTE NA MAKABILA YOTE

SASA KAZI TU

9k=
Z
unnamed%2B%2818%29.jpg

Mh Freeaman Mbowe akiongea na Mh' Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli wakati wa hafla ya kuchangia Ujenzi wa madarasa ya Shule iliyopo Masama.

Mh Freeman Mbowe akizungumza jambo na Mhe. waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama, Machame km 16
unnamed%2B%2820%29.jpg
 
we unaesema magufuli anatumia gari kujua ker za wananchi kwamba ni usafiri wananchi wamezoea, hivi wananchi wamezoea v8 na vx? mbona mnawaona watu wajinga. hivi unajua VX ipoje humo ndani? ni wananchi wangapi vijijini wenye V8 hadi wazizoee. apande punda au baiskeli kijiji kwa kijiji tuone. ni vyena CCM mkawa makini na kauli zenu kwa wananchi hatuzipendi na zinatukera zinatufanya tuone octoba 25 ni mbali sana.
 
Nimeshangaa kumsikia akisema hapandi chopa ili apate shida kama wananchi!!!daaaah,hivi anajua v8 haisikii mashimo?Unapita kama uko kwenye lami!
 
Ma ccm na akili zao ni vifutio tosha kwa taifa!
 
Mkae mkijua hatuna shida na magufuli wala mtu yeyote ndani ya CCM, tuna shida na mfumo uliowekwa na CCM, hivyo yeyote alie ndani ya mfumo huo ajue ataondoka nao octoba 25.

Ahsante mkuu, mwenye kuelewa atakuelewa!
 
Hata JK akitoka tutashirikiana nae kuitokomeza CCM.
 
Hao watakuwa nje ya kituo kulingana na ratiba ya uandikishaji na upigaji kura wenyewe

Watatusaidia kwa kuwa mawakala watiifu wenye uchungu na bodi ya mikopo itolewayo kwa usanii na matabaka.Tunakumbuka jinsi walk by khaki misha Mh Wenje anashinda kiulaini hapa Mwanza Nyamagana
 
Back
Top Bottom