Hizi milioni mbili taslimu

Hizi milioni mbili taslimu

Jiangalie na jihadhari na huyo jamaa yako (Mbabe) isije kuwa amekuwekea mtego kwa lengo la kukutatua Marinda...!

Chunga sana cha mtu ni Sumu..
 
Miezi 3 ni michache sana.

Acha tamaa, muwekee Pesa yake , mazingila ya sasa sio ya kusema unaanza tu biashara.
 
Usijaribu kabisa...

Miezi mitatu ni kama masaa mawaili... Itafika na pesa ya watu huna...


Cc: mahondaw
 
biashara haiendi siku hizi me mwenyewe nina 16m Tsh ila sioni chakufanya
 
Back
Top Bottom