Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,439
Haha Yamakagashi, sura yake ni ngumu kama mawe lakini anatoka mbio kama swara. Hapana leta macheso.Hiyo njemba kushoto ni under 20 ? Haki Railla Odinga atakuwa 24 View attachment 810057

Push up ni mazoezi jombaa. Ngoja atakapotoka nduki! 😀Wacha tupige umbea vijiweni vile Magu anapiga pushups.