Hizi mbwembwe ?

hii kitu inanikumbusha kifo cha jamaa mmoja alikuwa Fundi pikipiki alikuwa anakaa kigogo mburahati kama sikosei sasa ilikuwa kila akipita kigogo tzf mpaka maeneo ya msikitini hizo mbwembwe za kuruka juu na hilo baja na sauti za masela weweee siku ilipo fika alivyoruka akakosea kutua,jina lilibadirika mida hiyohiyo.ilikuwa mwoshoni mwa 1998 au mwanzoni mwa 1999
 
Kama kweli bingwa afanye na bajaji... anaionea tukutuku ya tairi mbili...
 
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…