Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Upo sahihi kiasi fulaniKama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL.
Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo.
Kama haupo basi afuate tu mkopo chuoni ila hakuna faida ya degree ya izo comb kama hauna direct connection.
Mods watamsaidia ku editKozi au kombi?
Sheria ina wigo mpana sana wa fursa.Degree ya Sheria haijawai kukosa umuhimu kwa mtu mjanja mjanja
ujanja ujanja, ujanja ukizidi ni utapel na unyanyasaji kupitia sheria...Degree ya Sheria haijawai kukosa umuhimu kwa mtu mjanja mjanja
hahahaujanja ujanja, ujanja ukizidi ni utapel na unyanyasaji kupitia sheria...
Uzuri wake nini? Framing ya jina au?Kuna kozi nzuri wanaweza soma hao madogo wa hizo tahasusi,,mfano kuna kozi inatolewa Water Institute-WI Ubungo inaitwa Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation ni nzuri mno
Kama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL.
Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo.
Kama haupo basi afuate tu mkopo chuoni ila hakuna faida ya degree ya izo comb kama hauna direct connection.
Mkuu hii kozi ni nzuri kwenye upande wa ajira hasa kwenye NGO's nyingi za wazungu wanahtaji watu wenye hii kozi,,pia serikalini kwenye miradi ya RUWASA wanahtajikaUzuri wake nini? Framing ya jina au?
Sio kweli.....kila mmoja ana njia yake ya kufanikiwa kimaisha ondoa hofu.Kumbe nimepoteza muda?
Umenimiss aunt Yako?😁😁 Acheni kusoma kuwaza kuajiriwa
tunaachache kwa mfano tutakula nini aunt?Umenimiss aunt Yako? Acheni kusoma kuwaza kuajiriwa