Hizi kesi ziliishia wapi?

Kesi ya nyani huwa hapelekewi tumbili , anyway

√√zimewakaa vizuri hizo jezi kumbe hata kichura chura hawawezi
 
Ngoja Mwaki embe aje akujibu
 
Hawaguswi hao sanasana watapigiwa simu tena na bosi kabisa watachati habari za siku, maisha nk halafu mwisho watapewa ujumbe ufuatao "Unajua yale mavazi mliyotumia kama kawaida ya Watanzania wanoko wamelalamika hivyo wakuu next time msiyatumie"
 
Walivyo kuwa wananengua kwenye kampeni wafungwe kweli?,labda sio ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…