Hizi icons inakuwaje?

Hizi icons inakuwaje?

Shark's Style

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
312
Reaction score
183
Wadau, Nitangulize shukran kwenu kwa maana naamini humu jamvini siwezi kukosa msaada,
nina hili tatizo la PC kudisplays icons zote with image of one of icons mfano unafungua vlc lakini icon yake inakuwa na image ya internet explore so every icon inakuwa na image ya internet explore sa pale inakuwa ni balaa tupu huwez kufungua application yoyote tena hapo, nimejaribu njia nyingi mfano kuingia kwenye safe mode kujaribu kufanya system restore lakini inashindikana nabado tatizo lipo palepale, Natumia OS ya Windows 7.
Naomba kuwakilisha.
Regards,
Shark's Style.
 
Icon cache ndo nini hiyo mkuu na utasolve vipi hilo tatizo?
 
Back
Top Bottom