Hakuna miembe ya mbegu fupi mzee...!Mkuu weka picha halafu wengi tunapendelea mbegu fupi zile! Weka na bei.
Huyo ni muuza miche...hana elimu yoyote practical ya maembe [emoji16]Kumbe huhifahamu dodo. Unasema haina harufu? Labda dodo ya kwenu. Dodo ina harufu na ni maarufu na ni tamu sana. Umekariri au kunukuu kwa nani hii makala?
Elewa context mzee...he probably meant the most common fruit trees kwa ukanda huu...embe, pera, stafeli, chungwa, avocado etc...kila aina ya tunda? una Persmon? Mangosteen? Plumus? Star fruit? Blue berries? Richees? Grapes fruits? Fig?
Duniani kuna aina zaidi ya 50,000 za matunda hivyo acha kusema kwamba umeotesha aina zote za matunda.
Are you a fruits farmer mzee au hobby tu!ni criteria gani umetumia kutambua sijui chochote, karibu saana kwangu uone, wengine hatuandiki hapa kufurahisha watu, au kufurahisha jukwaa...tunajaribu ku share knowledge as i practice.hayo uliyoyataja kwako wewe ndio yaelekea unayajua ninayo matunda ambayo huyajui na mengine i am sure hutakaa uyaonje kwani you cannot find them anywhere
Kila la kheri
Kabisa. Anaonekana hana mbele wala nyuma.Huyo ni muuza miche...hana elimu yoyote practical ya maembe [emoji16]
ñMaelezo ya kila aina ya embe yalitakiwa kuambatana na picha yake.
Hii ni changamoto kwa wauzaji wa miche na maua walio wengi tz. Wenzetu huko nje wanakupatia picha ya mature tree na fruits hadi scientific name unapoletewa mche ulionunua. Hapa kwetu sasa, matokeo utakutana nayo mbele ya safariPicha ya kila aina ya embe tafadhali
Karibu Nyumbani kwangu, Saa nyingine, ndio maana maarifa hatu shirikishi watu kwa sababu ya watu kama nyie,Hajui chochote huyo
Ameotesha embe na chungwa anasema aina zote za matunda
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulitaka nioteshe yote 50,000, je hayo yote yapo hapa Tanzania?unajiona mjuaji, unawakosesha wengine maarifa, ndio maana mara nyingi tunanyamaza, ninayo maarifa ya kutosha kuhusu hili, na hilo sina shaka nao hata kidogo, kuna mwenzio alikuwa ananibishia huwezi otesha Apple in dry areas sasa hivi na kula apple nazo za kutosha ...usilolijua saanyingine nyamaza unaweza jifunza kitukila aina ya tunda? una Persmon? Mangosteen? Plumus? Star fruit? Blue berries? Richees? Grapes fruits? Fig?
Duniani kuna aina zaidi ya 50,000 za matunda hivyo acha kusema kwamba umeotesha aina zote za matunda.
hii kauli ni dhana potofu mkuu, kutaka kukubaliana 100% haiwezekani, ndio maana maarifa hatu shirikishi watu kwa sababu ya watu kama nyie,
Kivipi sasa, sasa kama mtu anajifanya anajua kila kitu, ya nini kubishana naye si unanyamaza??? kubishana kwa hoja sawa ila sio kwa dhihakahii kauli ni dhana potofu mkuu, kutaka kukubaliana 100% haiwezekani
Wewe bure kabisa, mita moja ni futi 3 na nchi 2 hivi.m
mita 3 ?,una uhakika?yaani hatua 3,kutoka ukuta wa nyumba?
sawaKivipi sasa, sasa kama mtu anajifanya anajua kila kitu, ya nini kubishana naye si unanyamaza??? kubishana kwa hoja sawa ila sio kwa dhihaka