Huo ni ulaghai, kwanini aisikwambie toka mwanzo kuwa simu sio brand new ni used ilikotoka. Ungewaambia wakupe mkwanja wako tu.Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali niakaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alie niuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao warabu watakua wanatunia mizizi ya kumlagahai mteja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umepigwa parefu saaaanaNimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Brother ukienda dukani uwe umeshafanya research unataka kununua nini, kamwe usibadilishe mawazo yako. Muuzaji ana kupa ushauri ununue bidhaa nyingine kwa faida yake sio yako.Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Hiyo ela inaonesha uliipata vuuuuup, hukuwa na plan nayo ndio maana ulikuwa na pwiru. Kweli muuzaji anakupangia ununue Infinix kwa Laki 7?????kwanza vitu kama hivyo ni vya kufanyia hapo hapo dukani kabla hata hujaondoka. Uwe una-control pwiru kwenye kufanya manunuzi hasa ya vitu vikubwa, utapigwa vingi sana.Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
... kwa hiyo aishi na kupata hakuna kudogo.Sema infinix zinakaa na chaji...