habari zenu wadau
Nimeikuta hii picha huko fb, bidada kafiwa anaomboleza kwa selfie mwenyewe.....
Kamependeza lakini , sasa sijui tumpe pole au tumsifie amependeza...anyway tumuombee tu marehemu ajipumzikie kwa amani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.