Kila mtu na ujinga wake hapo wpo wenye phd,degree na diploma zao wanapiga makofi kwa bashasha zote.
Kuna kundi jingine la wajinga hawa wanunua vitabu vya akina yeriko nyerere na Eric kaflag hawa wote na watu wa dini wajinga wa mwisho ni mitaji mikubwa sana ya wakina kabendera na wakina mwamposa.