Hizi club zingine mh

Hizi club zingine mh

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
201
Unatakiwa upige tizi la uhakika kweli kabla ya kwenda mweh

 
Last edited by a moderator:
Hivi hii imerekodiwa kuzimu?, yaani kama watu waliochanganya bangi na viroba vya konyagi!
 
Hivi hii imerekodiwa kuzimu?, yaani kama watu waliochanganya bangi na viroba vya konyagi!

Ohoo kitu ni madance ya jamaica hayo so mchezo full bangeee
 
wajameni help me, kila nikidownload video hapa JF ninapara 1 kb kituambacho hata hakionekani. Help pleeeeeease, namiss mauhondo.
Detail: natumia E71.
 
Ndio maana watu wanazidi kuwa mashoga ! Hizi ni dalili dhahiri
 
Back
Top Bottom