Hizi Boing 737 zinazokongoloka bolts na Madirisha zingenunuliwa na ATCL mjadala ungekuwa mkubwa sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Nashuhudia Hapa BBC Alaska Air wakizipumzisha ndege zake aina ya Boing 737 kutokana na matatizo mbalimbali ikiwemo kudondoka bolts na plugs za milango

Nawaza tu kadhia hii ingewakuta ATCL na zile ndege za Shujaa pasingetosha hapa
 
Hizi 737 max toka zilipofanya yake Ethiopia na Indonesia 2018/19 sina imani nazo kabisa,sijui hata ilikuwaje na sisi tukanunua moja...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom