Nimekuwa nikishangaa karibia kila Mbunge/Kiongozi hutoa gari la Wagonjwa kwa wapiga kura wake, sasa haya Magari ni ya nini? Yanawapeleka wapi hawa Wagonjwa?
Au labda ni ni kama kesi Kuku na Yai, kipi kilianza?
Hapana, la chekecheaSwali la darasa la kwanza hili.