Hizbullah yaishambulia Israel

Ukuwa mjukuu wa mtume lazima uwe na vimelea vya unafiki na chuki
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya ngoja tuone hiyo ultimatum kama itatekelezeka au ndiyo tunaenda kushuhudia ya June 1967 yakijirudia tena
Aisee wewe unaongelea mambo ya mwaka 1967 leo 2023 hivi unajielewa kweli?
 
Israel safari hii lazima akalishwe!!
 
Tushangilie, ila baadae wakianza kupokea kichapo tusianze kusema FREE LEBANON.

Tusianze kulia lia allah akbar huku tumenyanyua makalio juu
 
Tunahesabu masaa kabla adui mzayuni hajaanza kupelekewa moto
 
Hatari KUBWA inayo mkabiri binadamu uwepo wake na ustaarabu wake, ni bidamu mwenywe
 
Wakitake wasitake ni lazima myahudi aufyate. Sasa hivi vijana wanpiga nyuma na mbele. Jionee:


View: https://youtu.be/GZ3QtKYXLn0?si=TCOI3NSr5CbOS9G0
 
Sasa lebanon inaenda kutawaliwa na israel, ilikuwa inatafutwa tu sababu ya kuwapiga. Mpaka halali wa nchi ya israel unaanzia Lebanon mpaka iraq mto frati
Mwaka 2000 Israel ililazimika kutoka kusini mwa Lebanon ilipopakalia Kwa miaka 17..baada ya mkong'onto wa hizbullah,2006 Israel alichezea kichapo Cha mbwa mwizi hamu Hana,Vita hii na hizbullah Israel kishapoteza rasilimali nyingi ikiwemo askari 120 waliouawa au kujeruhiwa, Israel Leo imelalama askari wa imam ali brigade elfu 6 wameingia toka Iran, Israel anaihofia hizbullah Sana na kesho kiongozi wao anatoa tamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…