Hizbullah na serikali ya Syria wafanya mapatano. Ni kitisho kingine kwa Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Baada ya kuwepo kwa taarifa ya mashambuliano ya siku mbili mpakani mwa Syria na Lebanon kati ya wafuasi wa HizbuLlah na wapiganaji wa serikali mpya ya Syria,sasa tukio hilo limefuatiwa na mapatano katika ya pande hizo mbili.

Kiasili wapiganaji ya HizbuLlah ni wafuasi wa mrengo wa kishia wakati wale wa serikali mpya ya Syria ni upande wa sunni.

Mapatano hayo yanaweza yasiependezeshe serikali ya Israel ambayo katika siku za karibuni imekuwa ikitafuta nyufa kwenye serikali ya Syria ili isitawalike baada ya kuwa wameteketeza kiasi kikubwa cha silaha zilizoachwa na utawala wa Bashar al Assad

Si kutafuta nyufa pekee bali imekuwa ikiichochea seriakali hiyo mpya iingie nayo kwenye vita mapema na kuchagua makundi ya kuwaunga mkono ili waanzishe vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Syria.

Wiki iliyopita Israel ilichagua wazee wapatao 45 kwa madhehebu ya Druze waingie Israel kukutana na wenzao wa huko japo kitu kama hicho hawakukiruhusu kwa zaidi ya miaka 50.

Israel imeweka marufuku kwa serikali mpya ya Syria kuweka vikosi vyake eneo la kusini la Syria ambako watu hao wanapatikana zaidi ikisema inafanya hivyo ili kuwalinda dhidi ya ukandamizaji unaoweza kutokea kutoka kwa serikali mpya ya Syria.

Kwa ufupi makubaliano kati ya Hizbullah na serikali mpya ya Syria ni kitisho kingine kwa Israel ambayo baada ya kuondoka kwa Bashar Al Assad imejiona kama imeruka matope na kukanyaga maji ya machafu.

Mapatano kati ya makundi ya kishia na kisunni ndiyo yale yale yaliyofanya vita vya kuikamata na kuitawala Gaza kuwa vigumu katika historia yao kwani makundi hayo yamekuwa yakipigana bega kwa bega na kuwa na ushirikiano wa kila aina kwa kipindi chote kigumu cha vita.
 
Utasubiri sana kwa israel kuangamizwa na nyinyi waabudu wa shetani kaallah. Ni kwambie kitu? Soma kitabu cha Biblia cha Malkia Esther sura ya 9:7-15 kisa cha Haman aliyekuwa kakamia kuwafutilia mbali Waisraeli lakini ni yeye na watoto wake kumi pamoja na watu 500 wa jamii yake ndiyo waliuawa. Hapo pia pana unabii uliotakiwa kutimizwa miaka ya mbele. Unabii huo ulitimia kwa Hitler na Makamanda wake mwaka1946 ktk ile kesi iliyojulika kama the Nuremberg Trials. Na ulitimia exactly kama ilivyotabiriwa yaani watu 12 walihukumiwa kifo ila mmoja alikuwa ametoroka, wale 11 waliobaki mmoja kwa hofu jana yake akanywa cyanide akafa hivyo walionyongwa walikuwa 10 kama ilivyotabiriwa. Wewe nenda kwenye google type "THE RESEMBLANCE BETWEEN THE NUREMBERG TRIALS AND THE BIBLE BOOK OF ESTHER"
Hicho hicho kitawapata islamists wanaonuia kuiangamiza Israel 🇮🇱
 
Acha mihemko ya Dini! Mtoa mada ametoa uchambuzi kuhusiana na hali inayoendelea mashariki ya Kati.
Usifikiri kila mtu anafikiria ushabiki wa kidini.
 
Wale wa dini
🇮🇱 The "Jesus Ban" Law in Israel: What's Behind the Knesset Initiative?

Israel may pass a law that would allow Christians to be jailed for talking about Jesus, media reports.

Two MKs from Prime Minister Netanyahu's coalition, Moishe Gafni and Yaakov Asher, have introduced a bill that would prohibit discussing or publishing "pro-Jesus content" on the Internet, in print media, and via email.

❗️ Key points:

▪️Talking about Jesus could result in up to 2 years in prison if it involves children under 18.

▪️In case of publishing materials about Jesus, the punishment is up to 1 year of imprisonment.

Utasubiri sana kwa israel kuangamizwa na nyinyi waabudu wa shetani kaallah. Ni kwambie kitu? Soma kitabu cha Biblia cha Malkia Esther sura ya 9:7-15 kisa cha Haman aliyekuwa kakamia kuwafutilia mbali Waisraeli lakini ni yeye na watoto wake kumi pamoja na watu 500 wa jamii yake ndiyo waliuawa. Hapo pia pana unabii uliotakiwa kutimizwa miaka ya mbele. Unabii huo ulitimia kwa Hitler na Makamanda wake mwaka1946 ktk ile kesi iliyojulika kama the Nuremberg Trials. Na ulitimia exactly kama ilivyotabiriwa yaani watu 12 walihukumiwa kifo ila mmoja alikuwa ametoroka, wale 11 waliobaki mmoja kwa hofu jana yake akanywa cyanide akafa hivyo walionyongwa walikuwa 10 kama ilivyotabiriwa. Wewe nenda kwenye google type "THE RESEMBLANCE BETWEEN THE NUREMBERG TRIALS AND THE BIBLE BOOK OF ESTHER"
Hicho hicho kitawapata islamists wanaonuia kuiangamiza Israel 🇮🇱
Ndivyo mnavyoambiwa kwenye vitabu vilivyotungwa na mayahudi wa Marekani mkashushiwa huku Afrika kwa jina la Ulokole
 
Hivi rais wa sasa wa Syria si alikuaga member wa Alqaeda ya Osama Bin Laden na pia alikuwepo kwenye list ya the most wanted terrorists na CIA? Huyu pia baada ya Osama kuuawa si alikua miongoni wa top leaders wa ISS? Why kasamehewa na both Americans and Mossaid? Ngoja nijipe muda, hu urafiki wa Hizbollah na Syria ni wa mashaka to my opinion
 
Hao magaidi wa Hezbollah watachuuzwa kama nyanya za pale Tandale sokoni na kama kawaida waarabu waga ni mambumbumbu hata hawawezi kustuka.
 
Utasubiri sana kwa israel kuangamizwa na nyinyi waabudu wa shetani kaallah. Ni kwambie kitu? Soma kitabu cha Biblia cha Malkia Esther sura ya 9:7-15 kisa cha Haman aliyekuwa kakamia kuwafutilia mbali Waisraeli lakini ni yeye na watoto wake kumi pamoja na watu 500 wa jamii yake ndiyo waliuawa. Hapo pia pana unabii uliotakiwa kutimizwa miaka ya mbele. Unabii huo ulitimia kwa Hitler na Makamanda wake mwaka1946 ktk ile kesi iliyojulika kama the Nuremberg Trials. Na ulitimia exactly kama ilivyotabiriwa yaani watu 12 walihukumiwa kifo ila mmoja alikuwa ametoroka, wale 11 waliobaki mmoja kwa hofu jana yake akanywa cyanide akafa hivyo walionyongwa walikuwa 10 kama ilivyotabiriwa. Wewe nenda kwenye google type "THE RESEMBLANCE BETWEEN THE NUREMBERG TRIALS AND THE BIBLE BOOK OF ESTHER"
Hicho hicho kitawapata islamists wanaonuia kuiangamiza Israel 🇮🇱
Biblia ina utofauti gani na alfu lela ulela?
 
Bhc huo utabiri ulikua fake maana sio 12 walionyongwa na pili huyo Hitler hakushindwa vita na WA Israel Bali ..kingine alama zote za kishetani ziko kanisani ,
Ibada za kishetani ziko kanisani
.waislam wanafanya ibada kama alivofanya ibrahimu ,Musa na hata yesu mnaosema wenu ..nae Alivua viatu na kupiga magoti na kusujudu..
So Baki kwenye ujinga wako na ubishi wa kilokole

Duuu kaibuka huko alikokuwa huyu Allahu Akibaru at Fake; wewe Gazeti la The New York Time la October 16th kuripoti hicho kisa halafu wewe mvaa kobazi wa Buza unakuja na kariri zako za Quran za Mohammad split the moon 🌙 unabisha!
 
Back
Top Bottom