Hivyo tumepunguza mahusiano na mapenzi? Kisa nini?

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Nilikuwa ughaibuni kwa kipindi cha miezi 2 hivi na nililimiss Jukwaa la Mahusiano,mapenzi na urafiki. Niliporudi tu nilifukuzia huko lakini hamu yangu imekatishwa tamaa. Naona ile spidi ya postings niliyoizowea haipo tena na badala yake postings zimekuwa chache, Kunani jamani?
 
Matatizo ya mahusiano yamepungua, thanks to michango yako.
 
Nilikuwa ughaibuni kwa kipindi cha miezi 2 hivi na nililimiss Jukwaa la Mahusiano,mapenzi na urafiki. Niliporudi tu nilifukuzia huko lakini hamu yangu imekatishwa tamaa. Naona ile spidi ya postings niliyoizowea haipo tena na badala yake postings zimekuwa chache, Kunani jamani?

tumepungukiwa na mada......hebu tupia moja tuichangamkie......
 
Nilikuwa ughaibuni kwa kipindi cha miezi 2 hivi na nililimiss Jukwaa la Mahusiano,mapenzi na urafiki. Niliporudi tu nilifukuzia huko lakini hamu yangu imekatishwa tamaa. Naona ile spidi ya postings niliyoizowea haipo tena na badala yake postings zimekuwa chache, Kunani jamani?

na nini?
 
Back
Top Bottom