ha...ha...haYoung, Younger (YANGA), Youngest!
Wanajifanya wajuaji bila kujua kwamba kuita SIMBA SPORTS CLUB ni uzuzu!!Na SIMBA je?
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Young sio yanga hata siku moja bora wangesema yang. Hapo sawa sio yanga labda tuulize wazee waseme maana ya yanga ni nini maana haliingii kwenye tafsiri sahihii
Barca ni nick name kwao wala huwezi kulikuta kwenye vitu official kama time-table fixtures wala popote. Lakini Yanga linatumika kama official name kwenye taratibu nyingi za nchi, BMT na TFFNami nikuulize hivi Barcelona ni sawa na Barca?
Hapo sio penyewe, kwasababu kawe imebaki kuwa kawe sio cow way tena, yaani cow way haipo tena wala kawe haitwi cow way tena, hata carrier corps haipo tena ipo kariakoo, lakini Yanga na Young zote zipo kwenye makabrasha mbalimbali kwenye club, BMT na TFF. Tulitarajia Dar es Salaam Young African iwe DAYA kama kifupisho lakini sio YangaKAWE imetokana na COW WAY.... palipokuwa na TANGANYIKA PACKERS.... YOUNG kuwa YANGA.... sawa tu
Upumbavu ni kumpa timu mhindi kwa jina la kuwekeza ilhali akaunti ya 5imba haina hata thumni. Ukimuondoa Mzee Kilomoni, waliobaki kule nina mashaka na akili zaoUpumbavu tu wala huwezi kuita Yanga halafu ukasema young,ujinga namba 2
Yanga siyo jina rasmi,jina lililosajiliwa ni Young African Sports Club. Ukipenda unaongezea mwenyewe "Ze Citizen Team" na ukinogewa zaidi ongeza "mabingwa wa kihistoria"Barca sio jina rasmi tofauti na Yanga
Mbona nawasikia wakianza na neno Dar es Salaam, unataka kusema Dar es salaam haimo kwenye urasimi wa jina?Yanga siyo jina rasmi,jina lililosajiliwa ni Young African Sports Club. Ukipenda unaongezea mwenyewe "Ze Citizen Team" na ukinogewa zaidi ongeza "mabingwa wa kihistoria"
Mbona huelewi pamoja na jamaa kukujibu hapo kwamba yanga lilikuja kutokana na watu kushindwa kutamka Young?Mifano yako kama barca, the blues, the gunners haifani na Yanga kwa Young, ni heri wangeita greens, yellows, au vijana. Maana Yanga sio sio kifupi cha Young na wala sio Vijana. Yanga ni jina ambalo halina maana yoyote. The blues kwakuwa jezi yao ni Rangi ya blue, the gunners wanatunza ghala la silaha, Barca ni kifupi cha Barcelona, Yanga ni nini?
sawa, kama "watu" wameshindwa kutamka young je, na viongozi wa young, BMT, TFF wameshindwa kutamka young hivyo wakaamua kuwafuata walioshindwa kutamka?. kama ni hivyo ingebidi young itoweke kama zilivyotoweka cow way, carrier corps, follow on line = foleni, nk. Lakini huwezi kutumia both kilichokosewa na kisichokosewa kwenye documents na mawasiliano rasmi ya club. Hata bank, mahakamani, nk huwezi kutumia majina yaliyokosewa 9nicks) na yaliyosahihi interchangeably, huko ni kukiuka sheria.Mbona huelewi pamoja na jamaa kukujibu hapo kwamba yanga lilikuja kutokana na watu kushindwa kutamka Young?
Mbona nawasikia wakianza na neno Dar es Salaam, unataka kusema Dar es salaam haimo kwenye urasimi wa jina?
Hilo ulilosema ndilo hasa linalotakiwa kutendwa. haya majina ya the blues, the Gunners, Reds sio majina yaliyokosewa lakini Yanga ni jina lililokosewa kabisa kwa kushindwa kutamka Young Africans. Hata viongozi wa Arsenal, Chelsea, Man EPL, hawawezi kupanga ratiba zao kwa kuandika The Blues vs Everton kama ilivyo kwa Yanga vs Green worriersDar Young Africans ndiyo jina rasmi sio hili la Yanga. Ni sawa na the Blues, the Gunners, the Reds, Cosmo kwa iliyokuwa Cosmospolitans. Ilianza kwa sababu wapenzi hawakuweza kutamka kwa ufasaha Young Africans wakawa wanasema Yanga Afrika. Umekataa Barca kwa Barcelona bure tu. Hata simba ilipokuwa Sunderland tuliita "Sanda." Vitabu vya hiyo Yanga yako hata Klabuni ubao sharti uandikwe Dar Young Africans. Zamani akina Mshindo Mkeyenge, Abdul Masoud walikuwa wakitangaza mpira Yanga walikuwa wakiita Dar Young Africans. "Wasikilizaji mpira unapigwa kuelekea goli la Dar Young Africans!!!" Muulize mwanachama wa "Yanga" yoyote kwa msajili jina gani limeandikwa. Kama ni Yanga basi wamebadili majuzi tu.