Hivi, what's so special na Philip Mangula?

thread critic

Member
Jul 17, 2012
71
0
Hebu niambieni.

80% ya wa Tanzania wako chini ya miaka 30, na wanajua maendeleo ya dunia ya kisasa na wengi wao ni unemployed na wanaona wazee wao walivyochoka kwa kunywa maji ya bendera.

Hivi huyu Mangula kweli ana kipi cha ajabu ambacho ataweza kukileta ndani ya CCM ? Imekuwaje mpaka wale mahasimu wakubwa wa CCM humu JF wamekuwa wakielezea kuwa ni mtu madhubuti?

whats so special na huyu Mangula?

Hivi kweli kuna uwezekano mtu akawepo CCM na akawa msafi?

unless I've missed something kwenye hii charade ya kupeana vyeo.
 

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,606
0
Ndiye aliyekuwa katibu mkuu wa CCM mwaka 2005 pale alipofanikiwa kuipatia CCM pesa kutoka benki kuu katika wizi wa pesa za EPA kwa ajili ya uchaguzi mkuu, akishirikiana na Balali, Salome Mbatia na Abrahaman Kinana.
 

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
14,710
2,000
Nashukuru umeshasema kuwa vijana chini ya 30 yrs hawajui yaliyo kuwepo kabla.

2012-30 unapata mwaka 1982.
Mwaka huo mimi nilikuwa Pemba, Chakechake, Machomanne.

Miaka hiyo ya 1980's na 90's ilikuwa muhimu sana kisiasa, na ndio ilikuwa miaka ya watu kama kina Mangula.
Believe me , miaka hiyo kwa watu waliokuwepo(wanasiasa) hata Mangula alikuwa hafui dafu!

Lakini kitu kizuri juu ya P Mangula ni kuwa he is a thoroughbred CCM Cadre.

He talks the talk and walks the walk.
 

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
7,869
2,000
Haya ni maigizo na Watanzania wanapenda maigizo,mwisho wa siku wameshaibiwa kila kitu.
 

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
571
500
Yeye peke yake hataweza na ataishia kuwa kama kingunge aliyegeuka jiwe uzeeni, bora angejibakia mkulima wa nyanya akamaliza safari yake salama kama Makweta.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
kamaliza ushauri nasaa kwa yaliyomkuta?Anajua nini kuhusu siasa za kisasa kama zinavyoongozwa na CDM?Asijeishia ropoka kam Mukama katk msiba wa Bob?CCM huwa hawasikii wala kusense vitu vinavyowazunguka ndio maana obvious things huwa wao wanakuja na tafsiri za mwenyekiti alijifungia magogoni na kupewa taarifa kwa kijiko zikiwa zimepikwa na wanaomzunguka.
 
Top Bottom