MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Aug 30, 2012 #1 Waungwana nimekua nikijaribu kufungua website ya sua kwa wiki sasa lakini haifunguki au ndo tuseme mimi ndo nnaekosea?
Waungwana nimekua nikijaribu kufungua website ya sua kwa wiki sasa lakini haifunguki au ndo tuseme mimi ndo nnaekosea?
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Aug 30, 2012 #2 Bofya hapa
M MAKAH JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,582 Reaction score 267 Aug 30, 2012 #3 sasa inafunguka lakini kuna kipindi ilikuwa haifunguki. kuna mtu namfahamu ambayeTCU wamempa admission ya BRD lakini kwenye orodha ya SUA hayupo - sijui ndo toleo la kwanza hili ukiacha wale waliopata admission katika Second selection
sasa inafunguka lakini kuna kipindi ilikuwa haifunguki. kuna mtu namfahamu ambayeTCU wamempa admission ya BRD lakini kwenye orodha ya SUA hayupo - sijui ndo toleo la kwanza hili ukiacha wale waliopata admission katika Second selection