Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
kwa utafiti wangu mimi ninachojua katika maisha shida yetu kubwa ni pesa,elimu bora, ajira kwa vijana, mazingira bora ya wazee kuishi, maendeleo.
lakini mimi katika pitapita zangu nimegundua watu wengi tumekuwa ile hali ya kupenda kuona watu wenye pesa wakifisika, watu wakitumbuliwa, watu wakipata shida, watu wakinyanganywa mali zao, watu wakifugwaa jela,
hivi ni kweli hii ndio shida yetu kubwa au shida yetu kubwa ni nini ?