Unakuta Mzazi na akili zake zote kabisa ana Watoto wa Kiume au wa Kike ambao wala hawajaoa wala kuolewa na hawana Watoto ( huku Umri wao nao ukiwa umeshakwenda ) lakini kila anapokuona Wewe anakuuliza lini utaoa au utaolewa na kwanini unachelewa Kuzaa ( kupata Watoto )
Hivi Mtu huyu huwa anatafuta Jibu gani Kwako ili labda iwe mwanzo na mwisho Kwake Kukuuliza?