Carbohydates, inajenga mwili na kuongeza nguvu, kwa kutengeneza energy ya mwili..na carbohydrates,inapatikana kwenye vyakula vya wanga,sukari n.k...maize meal is excellent energy provider, husaidia sana shughuli zote zinazohitaji nguvu..
....nguvu kazi...
mambo wachangiaji wa jf,mi nna swali hivi hawa wenzetu wasukuma wakija kukutembelea mpaka uwasongee ugali ata kama saa za lunch zimeisha? vijisambusa,vikacholi vikaranga na soda kwao havipandi watakusema ah huyu shemeji mchoyo ukienda kumtembelea hakupikii!!!!ninyumbulisheni anti yangu kaolewa na msukuma ajionea mauza uza kutwa wageni na mizigo yao na wanataka wasongewe ugali.
asubuhi ugali, machan ugali, jioni ugali,...........
...oww hoooo wao si na wageni? basi wale watakacho kikuta bana.... halafu mie wala sijali watakayo ya sema... nyumba ya kwangu jiko langu wao ni wageni watakula ntakachokipika....mambo wachangiaji wa jf,mi nna swali hivi hawa wenzetu wasukuma wakija kukutembelea mpaka uwasongee ugali ata kama saa za lunch zimeisha? vijisambusa,vikacholi vikaranga na soda kwao havipandi watakusema ah huyu shemeji mchoyo ukienda kumtembelea hakupikii!!!!ninyumbulisheni anti yangu kaolewa na msukuma ajionea mauza uza kutwa wageni na mizigo yao na wanataka wasongewe ugali.