Hivi wasukuma ugali lazima?

Tena huyo shangazi yako inaonekana kaolewa na msukuma aliyekulia mjini. Sisi wasukuma wa jadi hakuna cah breakfast wala nini: Kwa ufupi ratiba ni kama ifuatavyo (daily): asubuhi ni ugali na maziwa (hii inaitwa bhwabhadimi), mchana ni ugali, mboga za majani na maziwa tena na usiku ni ugali na samaki na maziwa. Wali si chakula kwa msukuma anayedumisha mila. Wali ni kama matunda tu yaani. Wasukuma oyeeeee, we si unaona miili yenyewe...
 
...oww hoooo wao si na wageni? basi wale watakacho kikuta bana.... halafu mie wala sijali watakayo ya sema... nyumba ya kwangu jiko langu wao ni wageni watakula ntakachokipika....
Asante noname,yule shangazi hamind kupika ugali mchana hata usiku,lakini ule ugali wa gafla gafla jamani kwamfano nyie wangeni mmekuja mida ya saa kumi au tisa na nusu hamtaki juice na sambusa ambavyo vipo mnataka msongewe ugali kwa kweli ata mimi mtanisamee,alamu tutamsikia mmewe mama nanii ebu wasongee kaugali hao wageni!!!uliwaangalia wako wnne we kusonga ugali sio mchezo,kule kwetu (siwambii wapi)ugali unasongwa nawanaume,tena kipindi cha njaa!!hahahahaNATANIA.
 
mambo wachangiaji wa jf,mi nna swali hivi hawa wenzetu wasukuma wakija kukutembelea mpaka uwasongee ugali ata kama saa za lunch zimeisha? vijisambusa,vikacholi vikaranga na soda kwao havipandi watakusema ah huyu shemeji mchoyo ukienda kumtembelea hakupikii!!!!ninyumbulisheni anti yangu kaolewa na msukuma ajionea mauza uza kutwa wageni na mizigo yao na wanataka wasongewe ugali.
Haka ka-sredi kamekaa kigonjwagonjwa!
Huyo shangazi yako mbona halalamiki unalalamika wewe?....au ndy unaishi kwake! uskasirike natania
Hv wewe chakula unachopenezwa nacho kbs ni nn? Kwa mila za wabantu UGALI ni chakula muhimu sana, na kula ni moja ya starehe. Nyumbani kwangu mimi ugali unapikwa kama unavoandaa juice kwako, mara nne kwa siku (na ukipoa tunawapa nguruwe), ugali wa dona na mapande ya mdudu wa kuchoma! Kama hutaki kuolewa na mla ugali si uolewe na waarabu ushindie vitumbua! teh teh
ugali.jpg
 
Attachments

  • ugali.jpg
    ugali.jpg
    36.2 KB · Views: 54

Huu ugali vipi mkuu, mbona rangi yake kama siyo ugali niuujuao?
 
Huu ugali vipi mkuu, mbona rangi yake kama siyo ugali niuujuao?
Hiyo Nguna ya MTAMA kaka, ukila hiyo kitu mkeo atakuuliza umekunywa konyagi!! Ukipita MUSOMA usiseme ugali tu kama ni mgeni sema "ugali mweupe". Huu unaliwa na supu ya kuku, samaki wa kuchoma au mrenda wa karanga bila kusahau mtindi wa kutosha!!
 
Asante noname,yule shangazi hamind kupika ugali mchana hata usiku,lakini ule ugali wa gafla gafla jamani kwamfano nyie wangeni mmekuja mida ya saa kumi au tisa na nusu hamtaki juice na sambusa ambavyo vipo mnataka msongewe ugali kwa kweli ata mimi mtanisamee,alamu tutamsikia mmewe mama nanii ebu wasongee kaugali hao wageni!!!uliwaangalia wako wnne we kusonga ugali sio mchezo,kule kwetu (siwambii wapi)ugali unasongwa nawanaume,tena kipindi cha njaa!!hahahahaNATANIA.
lolllllllllllll
halafu anasema mbele ya wageni? ehhh? kazi ipo....
 
Back
Top Bottom