Umemshauri awekeze kwenye nini chenye tija zaidi Kwa mawazo yako?Mtu wangu wa karibu kastafu na kapata pension yake.Toka tuzaliwe hajawahi kufanya kilimo cha biashara maisha yake.Kwa sasa ameanza shughuli za kilimo na kawekeza 20,000,000 na anategemea kupata faida 50,000,000.,Nimeshauri asiwekeze hela zaidi maana kilimo hakieleweki.ila naona Wastaafu wengi hela zinawachanganya sana.
Awapelekee matapeli wa VANILAMtu wangu wa karibu kastafu na kapata pension yake.Toka tuzaliwe hajawahi kufanya kilimo cha biashara maisha yake.Kwa sasa ameanza shughuli za kilimo na kawekeza 20,000,000 na anategemea kupata faida 50,000,000.,Nimeshauri asiwekeze hela zaidi maana kilimo hakieleweki.ila naona Wastaafu wengi hela zinawachanganya sana.
Labda alikuwa na hizo plan kabla hajapata hizo hela. Halafu nilifikiri labda Una wazo mbadala kumbe ni woga tu.Aweke hela kwanza atulize akili
Kama analima mwenyeww sawa. Ila kama kawapa wahuni walime kwa niaba yake imekula kwake!Nimemuelewesha,ila hua hizi hela zinawachanganya sana,we hujafanya biashara yoyote toka ujanani unaanza 60+
Wasiwasi ni akiliLabda alikuwa na hizo plan kabla hajapata hizo hela. Halafu nilifikiri labda Una wazo mbadala kumbe ni woga tu.
Vannila 1kg ni 1M😂😂wale wanafanya UPATU, Muda utazungumzaAwapelekee matapeli wa VANILA
Mashamba yako mbali anaenda Mara moja moja ndo mana namshauri aachane na kuwekeza hela zaidi sehemu ambapo hayupo availableLabda alikuwa na hizo plan kabla hajapata hizo hela. Halafu nilifikiri labda Una wazo mbadala kumbe ni woga tu.
Duh na yeye analima kwa WhatsApp!Mashamba yako mbali anaenda Mara moja moja ndo mana namshauri aachane na kuwekeza hela zaidi sehemu ambapo hayupo available