BIG Africa
Member
- Oct 15, 2022
- 85
- 119
Hakuna kitu anataka kukwambia.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Hajiamini kama kamuacha huyo Demu,anajipa moyo kua demu atamtafuta tu.Hakuna kitu anataka kukwambia
Move on...
Hahaha Sawa piahaHakuna kitu anataka kukwambia
Move on...
Mmekutana Pipa na Mfuniko.
Ukiona mwanamke anapuuza meseji na calls zako ujue kuna mtu yupo busy naye anayechart na kupigiana simu kila muda.Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
HahahWafilipino mpo wengi Sana.
Sasa juzi kanitafutia nnUkiona mwanamke anapuuza meseji na calls zako ujue kuna mtu yupo busy naye anayechart na kupigiana simu kila muda.
Shituka, hapo alikuacha mapema ila wewe haujashituka. Move on
ThanksEndelea ku-mute mkuu, inaweza kuwa ngumu sana kwako mwanzoni. Ila itakusidia sana kusonga mbele.
Alikutafuta coz hata yeye anajisikia vibaya ulivyokuwa unatuma sms kila dakika na sasa umeacha. Endelea hivyo hivyo, usimtafute, akituma sms asubuhi umjibu kesho asubuhi.Sasa juzi kanitafutia nn
Inakuwaga mbaya hiyoHajiamini kama kamuacha huyo Demu,anajipa moyo kua demu atamtafuta tu.
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.