Huyo mwanamke labda chizi anavamia tu watu.naona tu ubongo umesimama namuangalia simmalizi kweli wanaume wote hawa mume wangu ndio wakimpa mimba?
Sijaelewa nahisi kichwa kinazunguka nyuzi 360 sielewi hata chakufanya
Nishaurini jamani
nashawishika kusema kua mmeo na huyooo
mwanamama wanajuana,haiwezekani mtu atoke tu
aje kwako kuomba azae na mmeo!!
na huo ujasiri sijui mwanamke kautoa wapi.....