Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Acha tu hata blidi zao mnazila hamjui tuMtatumaliza jamaniπ₯
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa nanani boma gani lichukue shida hapa mjini.
Naishi na wanadada wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae.
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi .
Hadi sauti yako yaani hii ni shughuli mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.
Natabia nyingi wanazifanya kama wapo huku acheni kaeni nariziki zenu jamani. Mnaboa eti.
Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Triple action.. Three in one[emoji3]Wanaroga wanaume alafu wanaroga wanawake wenzenu alafu wanajiroga wenyewe au sijaelewa vizuri hapo?
Umepatia kabisaWanaroga wanaume alafu wanaroga wanawake wenzenu alafu wanajiroga wenyewe au sijaelewa vizuri hapo?
Ke ni Israel mtoa roho 99% kwa Me isipokuwa 1% ni majanga mengine kama uchawi, wizi, ujambazi, dhuluma, magonjwa, ajali n.k.Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa nanani boma gani lichukue shida hapa mjini.
Naishi na wanadada wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae.
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi .
Hadi sauti yako yaani hii ni shughuli mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.
Natabia nyingi wanazifanya kama wapo huku acheni kaeni nariziki zenu jamani. Mnaboa eti.
Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Na siku hizi wadada wanajiuza mno, sijui tutaoa akina naniWatu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa nanani boma gani lichukue shida hapa mjini.
Naishi na wanadada wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae.
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi .
Hadi sauti yako yaani hii ni shughuli mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.
Natabia nyingi wanazifanya kama wapo huku acheni kaeni nariziki zenu jamani. Mnaboa eti.
Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Tena haya nimadogo majuzi kati walichonifanyia nikakaa chini uchi . Yaani kuharibu waliharibu fulu nimaibilisi.Kuna baadhi ya watu/jinsi hawana tofauti na shetani.Yote hayo wanafanya wao?
Unique Flowers akiwa kwenye harakati kumfanya Mzabzab kuwa zezeta la mahaba....[emoji2960]Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa nanani boma gani lichukue shida hapa mjini.
Naishi na wanadada wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae.
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi .
Hadi sauti yako yaani hii ni shughuli mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.
Natabia nyingi wanazifanya kama wapo huku acheni kaeni nariziki zenu jamani. Mnaboa eti.
Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Hama eneo.Kuwakimbia mashetani siyo dhambi.Tena haya nimadogo majuzi kati walichonifanyia nikakaa chini uchi . Yaani kuharibu waliharibu fulu nimaibilisi.
Kina huyu dada anachukia nikipata mtu na anachukia nikiwa na afya njema
Kwanini unauza mechi sasa[emoji3064]Unique Flowers akiwa kwenye harakati kumfanya Mzabzab kuwa zezeta la mahaba....[emoji2960]View attachment 2884282View attachment 2884284
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app