katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Sasa wake hana mvuto wala hajiweki msafi yupo rafu rafu tu hadi kero bestNawewe mtafute mume wake umgande.
Hilo nalo neno sasa je nimtumie kwa faida yangu kama tik tok nimtoe humu au instagram au facebook ili nipate hela .ulipoanza nilidhani tatizo labda uliwahi wasimulia ufundi wake kwa bed bt ulipofika hadi bank, hardware na nk... basi hapo tatizo mumeo amejaliwa nyota ya mvuto ndo maana anamvutia kila ke hivo nakushauri uwe mstahmilivu pia uwapo nae ndani jaribu kumweka wazi kua unajisikia vibaya anapoonesha ushirikiano kwa wanaomuita nadhan kama atakua ni muelewa atakuelewa na ataidhibiti hiyo hali.
Wewe mvuto wa mwanaume wa kazi gani?Sasa wake hana mvuto wala hajiweki msafi yupo rafu rafu tu hadi kero best
hata sijakuelewa mkuuHilo nalo neno sasa je nimtumie kwa faida yangu kama tik tok nimtoe humu au instagram au facebook ili nipate hela .
Awe ni mvuto kwa jamii.
Maana nimechoka
Utamvunjia ndoa mwenzio ohooo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wewe mvuto wa mwanaume wa kazi gani?
Mwanaume mashine mwanaume hela.
Embu kamgande huyo baba umkomoe bishosti.
Wacha weeWewe mvuto wa mwanaume wa kazi gani?
Mwanaume mashine mwanaume hela.
Embu kamgande huyo baba umkomoe bishosti.
Mume wangu kweli ni unguza kichwa .Usimlaumu huyo mama anayemganda mumeo. Lawama zote zielekeze kwa mumeo. Angekuwa hataki kugandwa na huyo mama wala wasingegandana.
Mumeo kuna kitu anachokipenda/anachokitaka kwa huyo mama ambacho pengine wewe huna/humpatii. Kaa naye kitako umuulize atakwambia tu. Na mwambie wazi kuwa hupendi anavyogandana na huyo mama. Kama anakuheshimu atakusikiliza.
Nasisitiza tena. Mumeo ndiyo furushi na siyo huyo mama [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hukueleweka ndio maana nikakubali.Ana umri gani huyo mumeo? Halafu wewe katoto kazuri nilikuapproach mwaka majuzi 2017 ulinitolea nje, sasa hivi ungekuwa unakula mema ya nchi kwangu with stress free
Nimemchunguza nimechoka kabisaFatilia nyendo za mumeo vizuri
Tayari yupo wa kumpa kimasiharaHebu njoo huku unipe tunda kimasihara
Ninae mchepuko tena huyo ambaye mke wake anamfanya mume wangu mchepuko wake kama ukirejea nyuma nilisema kuwa nilidaka mesage za mapenzi kwenye simu yake mume wanguWewe mvuto wa mwanaume wa kazi gani?
Mwanaume mashine mwanaume hela.
Embu kamgande huyo baba umkomoe bishosti.