Hivi wanawake mna matatizo gani?

Kinachomuuma ni aibu aliyoletewa ndani au kukosewa heshima na kuwekwa kwenye athari mbaya za kiafya na huyo mwanamke?Ukitaka kumshauri lazima ujue kinachomuuma ni nini,kama ni aibu atunze siri,asamehe aendelee na maisha na huyo mwanamke,ila akiona amehatarishiwa maisha na kukosewa heshima bila sababu zinazokidhi uelewa na kuwa hili tukio linaweza kujirudia basi atulie ajipange upya.
 
Hahahaha...mkuu, umeongea ukweli uliopitiliza.

Umemaliza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…