Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 754
- 3,097
Wewe una umri gani?
Ni mwanamke ambaye nimekuwa nae tokea 2010 mpaka tumemaliza chuo na kuanza maisha. Siku zote imekuwa hivi na mimi nilikuwa naona sawa lakini sasa naona ni too much. Nashindwa haki vile.Kuna tatizo hapo.
Tupe history vzr, yuko hivo tangu enzi hamjaanza ishi pamoja ama kawa hivo baada ya kuanza kuishi pamoja?
But whatever the case, jibu ni either ana tatizo huyo mwanamke, hana hisia na ww, hakupendi, ana msongo wa mawazo.
Ni mwanamke ambaye nimekuwa nae tokea 2010 mpaka tumemaliza chuo na kuanza maisha. Siku zote imekuwa hivi na mimi nilikuwa naona sawa lakini sasa naona ni too much. Nashindwa haki vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipitia jandoni? Umekosa mafunzo ya jinsi ya kuishi na jinsia ya kike kwenye ndoa.
Ulipitia jandoni? Umekosa mafunzo ya jinsi ya kuishi na jinsia ya kike kwenye ndoa.
Nenda kwa kungwi wa mkeo umueleze haya.