Hivi wanaume wenzangu mnawezaje ishi na mwanamke ambaye bila kumpetipeti wewe hakuna tendo la ndoa?

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
612
1,000
Wakuu,

Naishi na mwanamke zaidi ya miaka miwili lakini siku zote sipati tendo la ndoa bila mimi kuanza kumpetipeti, nikisema nikaushe basi hakuna kitakachofanyika siku hizo.

Hakuna siku mwanamke huyu hata amenitega, akilala kalala na mbaya zaidi akilala kavaa chupi kabisa. Hakuna siku amenishika kifua au uboo hata bahati mbaya.

Wakati mwingine nawahi kulala na nakuwa mtupu lakini wapi. Mwanamke hana hisia kabisa.

Angekuwa anaenda kazini sawa ningesema uchovu lakini yupo home tu.

Alisafiri kama miezi mitatu lakini amerudi maisha ni yale yale.

Binafsi nimechoka na sina hisia tena zimekata, nawaza kutafuta mwanamke mwingine mwenye hisia ili niweze kufurahia tendo kama wanaume wengine.

Nimechoka kwa hii hali. Mungu atanisamehe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,962
2,000
Kuna tatizo hapo.

Tupe history vzr, yuko hivo tangu enzi hamjaanza ishi pamoja ama kawa hivo baada ya kuanza kuishi pamoja?

But whatever the case, jibu ni either ana tatizo huyo mwanamke, hana hisia na ww, hakupendi, ana msongo wa mawazo.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,147

Tunaishi nao kwa akili na si vinginevyo
 
Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
612
1,000
Kuna tatizo hapo.

Tupe history vzr, yuko hivo tangu enzi hamjaanza ishi pamoja ama kawa hivo baada ya kuanza kuishi pamoja?

But whatever the case, jibu ni either ana tatizo huyo mwanamke, hana hisia na ww, hakupendi, ana msongo wa mawazo.
Ni mwanamke ambaye nimekuwa nae tokea 2010 mpaka tumemaliza chuo na kuanza maisha. Siku zote imekuwa hivi na mimi nilikuwa naona sawa lakini sasa naona ni too much. Nashindwa haki vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cheetah255

JF-Expert Member
Oct 19, 2017
1,239
2,000
Haumkuni kama ex wake pia kuna kajamaa kanasimama show ukiwa kazini hivyo wewe anaona unamsumbua tu.Ukitaka kuhakikisha jifanye umefulia kama hajakuita kiba100 asepe zake.
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,962
2,000
Tangu mko chuo yuko hivihivi?

Basi huenda ana aibu iliyopitiliza, au labda ana shida kubwa ambayo ww huijui na hajawahi kukuambia.
Ni mwanamke ambaye nimekuwa nae tokea 2010 mpaka tumemaliza chuo na kuanza maisha. Siku zote imekuwa hivi na mimi nilikuwa naona sawa lakini sasa naona ni too much. Nashindwa haki vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom