Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 752
- 3,096
Wakuu,
Naishi na mwanamke zaidi ya miaka miwili lakini siku zote sipati tendo la ndoa bila mimi kuanza kumpetipeti, nikisema nikaushe basi hakuna kitakachofanyika siku hizo.
Hakuna siku mwanamke huyu hata amenitega, akilala kalala na mbaya zaidi akilala kavaa chupi kabisa. Hakuna siku amenishika kifua au uboo hata bahati mbaya.
Wakati mwingine nawahi kulala na nakuwa mtupu lakini wapi. Mwanamke hana hisia kabisa.
Angekuwa anaenda kazini sawa ningesema uchovu lakini yupo home tu.
Alisafiri kama miezi mitatu lakini amerudi maisha ni yale yale.
Binafsi nimechoka na sina hisia tena zimekata, nawaza kutafuta mwanamke mwingine mwenye hisia ili niweze kufurahia tendo kama wanaume wengine.
Nimechoka kwa hii hali. Mungu atanisamehe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app