Hivi wanaume tulilaaniwa au?

Unaweza kudhani we ni rijali lakini huwezi tongoza
Wwnakuja wenyewe na ni watoto wakali ambao wewe unaishia kuwaona kwenye tv ila tangu nijitambue sio ishu kupotezea as long nna mke wangu amenitosha
 
kutongoza ni kutimiza wajibu na madada wasipotongozwa wanaenda kwa waganga sasa suaa la kutongoza kwa wanaume in lazima
 
the art of every man......... kukubaliwa au kukataliwa that is another issue.... watongozwe tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…