Hivi wanaume tulilaaniwa au?

Akimaliza miezi hajatongozwa anaanza kutafuta mchawi... akitongozwa shida..
 
Swali kwa aliyekuuliza;
Atafikia hatua ya kumpa no yake ili iweje? Si ili mahusiano yaendelee hata ka ni kuuziana vifaranga?? Sasa uhusiano wenu mwisho siku ya kuchukua vifaranga unahitaji no yake ya nini ka si kutaka mahusiano ya kudumu?
Ndo maana naye anaona atangaze nia haraka
 
Hivi sasa nina flirt na wanawake watatu watsp... And they like it.
 
shutka anatafuta ruhusa akiwa na bwana mwingine ukifuma sms zake akuambie ndiwale wanaomsumbuaga
 
Kwani Mungu alipotuumba wanaume alikosea? Ukipewa bunduki yanye risasi na upo uwanja wa mapambano ni kutageti na kushuti bila kusita.
 
kutembea na muwa kama fimbo ni hatari sana
 
Reactions: DLS
Na kama kweli angekuwa anampenda mwanaume aloyemtongoza angethubutu kukuambia kama katongizwa?
 
Usipotongoza atakubatiza "wewe si mwanaume" unashinda nae unasafiri nae masafa marefu ila huombi mzigo. hivyo kila anaetoa namba lazima aombwe mzigo.
 
Mmesahau kuna ukimwi? Ombeni mizigo hovyo muone!
 
kwahiyo nawewe umemkubalia mpenzi wako kuwa ni kweli tunatongoza? utakuwa umetuangusha sana, ungekataa kabisa. hapo atakosa imani nawewe, atujua na baba yetu ni walewale.
 
Hata nyie munatutongoza sana umekuja kuomba kununua nguo unaniachia namba siku ya Pili tunachat wee huku ukinisifia sana week inapita unaomba twende punch Breakpoint hapo najua ushanitaman kinachobaki nikutamkie tuu ili ufurahi nikugegede na Hela ya chumba utalipa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…