M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,271 Reaction score 90,787 Dec 27, 2018 #21 Bujoro said: Sisi wanaume bhana, unaweza pata mwanamke mwenye elimu nzuri kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda Na ni mtu wa dini, kituko unaweza ukamuacha kisa hana tako kubwa wanaume tunakwama wapi mi hata sielewi yaani. Click to expand... mwanamke bila tako wa nini bwana wewe......raha ya dunia ipo hapo kwenye tako....yaani bonge la vibration.
Bujoro said: Sisi wanaume bhana, unaweza pata mwanamke mwenye elimu nzuri kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda Na ni mtu wa dini, kituko unaweza ukamuacha kisa hana tako kubwa wanaume tunakwama wapi mi hata sielewi yaani. Click to expand... mwanamke bila tako wa nini bwana wewe......raha ya dunia ipo hapo kwenye tako....yaani bonge la vibration.
Tairus JF-Expert Member Joined Mar 13, 2013 Posts 680 Reaction score 1,068 Dec 27, 2018 #22 Wanch wanch cheche fasi ya dwasi unaprint mpaka darsalade unaingia chocho unakutana na hii mama...
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,754 Reaction score 5,184 Dec 27, 2018 #23 Viatu vya Samaki said: Sisi wanaume hatutosheki na yule tuliyenae. Ukipata mwenye tako utaanza kutafuta wembamba na ukipata mwembamba utataka mnene, bonge, bwanyenye, nyenyenyeee! Click to expand... Hapo unenena mkuu
Viatu vya Samaki said: Sisi wanaume hatutosheki na yule tuliyenae. Ukipata mwenye tako utaanza kutafuta wembamba na ukipata mwembamba utataka mnene, bonge, bwanyenye, nyenyenyeee! Click to expand... Hapo unenena mkuu
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,690 Reaction score 9,120 Dec 27, 2018 #24 Baadhi ya Wanaume ni noma sana hawaridhiki na wake zao.
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,241 Reaction score 11,781 Dec 27, 2018 #25 siku zote binadamu hutafuta asichokuwa na umiliki nacho japo kwa muda tu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,785 Reaction score 31,298 Dec 27, 2018 #26 Umekwama ww
Zikomo Songea JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 670 Reaction score 582 Dec 27, 2018 #27 Bujoro said: Unajitetea sio Click to expand... Hapana mkuu Bujoro. Ukikabidhiwa jembe haina maana ulime tu kila sehemu.
Bujoro said: Unajitetea sio Click to expand... Hapana mkuu Bujoro. Ukikabidhiwa jembe haina maana ulime tu kila sehemu.