Hivi wanaume nani aliyeturoga?

Kwenye hili andiko lako hapa umetumia neno baadhi wapi mkuu
 
Sisi wanaume hatutosheki na yule tuliyenae.

Ukipata mwenye tako utaanza kutafuta wembamba na ukipata mwembamba utataka mnene, bonge, bwanyenye, nyenyenyeee!
 
Sisi wanaume hatutosheki na yule tuliyenae.

Ukipata mwenye tako utaanza kutafuta wembamba na ukipata mwembamba utataka mnene, bonge, bwanyenye, nyenyenyeee!
Cjui tynafeli wapi aise
 
Sasa kwanini yeye awe na vyote halafu akose tako?
 
Ngoja nimalizie bapa kwanza hapa.... It's pombe time! Maisha ni mafupi saaaana Sana kufuatilia maisha ya mwingine. Learn to love yourself
 
Unafikiri wanaume wote tunaakili ka zako? Wakati mwingine mzungumzie nafsi zenu muache kujumuaisha
 
Mkuu, kuwa mwanaumesi mchezo mchezo. Vinginevyo utaanza kulima kila mahali kisa tu eti unamiliki jembe!
 
Sema nakwama wapi, body morphology haiwezi kuwa kikwazo cha Ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…