Wote. Mwanaume anaona haka kafala nimeshakaweka ndani bhasss hakana ujanja. So vi surprise, vidhawadi vi outing vinaisha. Vile visex vya kupigishana yowe mpaka unaomba poo hamna tena manina.
Na Bi Dada ilmradi sherehe ishafanyika, ameshawarusha roho mashoga zake mpaka wakapiga saluti, Basi anabweteka. Zile ishu za usafi, kubadilisha misosi kujipara hamna tena. Atashindia dera, akizaa anuke maziwa kutwa nzima manina.
Ni wote aisee.