Hivi wanaume mnajua hili?

Hivi wanaume mnajua hili?

Ngoja waje wapenda kujipost mimi nina miaka miwili sijajipost na nawashangaa wanaojipost kila siku siwaelewagi kabsaa
 
Mnakuja masaki kupiga picha,halafu badae mnapost instaa...mhh
Nyie madogo mnavisa,me nakaa masaki na sjawah piga picha...

NB:GOSBY
 
Ukiona mke wako au mchumba wako anapenda mambo ya kujipost post saana kwenye mitandao ya kijamii tambua hapo hakuna mwanamke.

Umeshtuka nini leo😁😁😁
 
Ayo mambo mi yalinishinda kabisa sipendi kabisa kujipost hata mtu kunipost pia sipendi labda nisione kama mwenyewe sijipost wew nani adi unipost
Apo tunaendana sawa sawa binti
M nikishamwambia mtu asijipost post hlf hasikii namuachia tu mwenyewe mna madhara yke atakuja kuyaona tu mbeleni
 
Ukiona mke wako au mchumba wako anapenda mambo ya kujipost post saana kwenye mitandao ya kijamii tambua hapo hakuna mwanamke.
Na wewe huko unakuwa unatafuta nini
 
Post special event kma kumbukumbu ila sio ile kila mtu anajua leo kala nn ,kaenda wapi ,mtu anajua leo una mood gani ukiwa furaha au huzuni unapost..
 
Na mwanaume anae kesha kujipost?
Huyo ni upinde
IMG_20230111_181649.jpg
 
Back
Top Bottom