Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?


Kila mtu ana taste zake. Ila Wengi tunaangalia mindset ya huyo mwanamke. Mara nyingi unakuta mwanamke mzuri kweli kweli lakn kichwani amejaa michuzi tu, nyodo nyingi na kupenda miteremko, kujiona wao ni wa kuolewa na matajiri tena akiwa amesoma ndio its more worse wansahau kwamba life is a struggle and with a good partner ni rahisi ku win this struggle. Kama unatabia hzo za kupenda kitonga badilika ndugu orelse utangoja sana kuolewa. Marriage is a bond between two people m/mke na m/mme (more of a partnership, ni makubaliano ya watu wawili m/mke na m/mme wanaojitambua na kuwa na malengo na maisha yao) Wanawake wengi wanaojiona wazuri wanaishia kupigwa nao tu lakn mtu anaejitambua hamuweki ndani hata siku moja anaenda kuoa an average looking woman. Unless huyo mwanamke mzuri awe na sifa nlizo eleza awali. (Wanaume wengi tuna hiyo tabia).

Ni kama unavyoona wabongo wengi unakuta mtu amesoma ana ki degree au ki masters chake ukimwambia afanye biashara ya genge, kiosk, kuendesha bodaboda au bajaj anaona atadharaulika same case applies to women wanaojiona wazuri, wanajiona ni wa class flan wanasahau life is a struggle. Binafsi navutiwa sana na mwanamke anayejua kutafuta pesa (fighter). Na mbona watangoja sana kuolewa nakwambia unless wabadilike.
 

hapo umenena alafu wanasema hamna wakuwaoa wakt hawajaka kuolew
 
Wanawake wanaojiona kuwa ni wazuri ni wasumbufu mno! Ndo maana huishia kwa ma player, maana wao wanajua style zao. Wao ni kubana pua na kuona kuwa kwa kuwa yeye ni mzuri, basi hana cha kuchangia zaidi ya uzuri wake.

Kuna mmoja niliwahi date naye, ndani ya mwezi tu, ilitafuta exit door haraka sana. Hao pasua kichwa sana ndo maana nao mara nyinie huishia kupasuliwa vichwa!
 
wanawake wazuri ni kama maembe yaliyo juu kabisa na pembezoni mwa mti kule kwenye matawi membamba.

Wenye ushujaa wa kupanda huko juu na kwenye matawi membamba ndio wenye uwezo wa kula maembe hayo. Wengi ni waoga na hawafiki huko.

Waoga husubiri yaoze na kudondok au yatikiswe kwa upepo ambapo yakifika chini ni nadra kuyakuta bado na uzuri wake.

Wanawake wazuri lutoolewa ni woga tu wa wakwezi eti kila mtu nawaoma na kuwapata lazima ujue kuwatungua kwa mawe (pesa).
 

mkuu nimeyapenda maneno yako aise! Wacha nitafute kitufe cha like kwanza.
 
Sasa mnamuitaje mume kumbe hajawaoa semeni ni hawara
si majina yakuwadanganya danganya hata ukipiga kibomu ueleweke....ukimwita hawara ndugu mbona hapo unajiweka hatiani siku akisikia hilo jina....
 
na mimi nasubili jibu la hili swali..wanaume njoo mfunguke ili tujue jamani.

Kama ilivyo kwa wanawake, wanaume tuna vionjo tofauti tofauti, kutegemea mazingira tuliyolelewa.
Binafsi, shepu si kipaumbele, ila maelewano, kwa maana ya kwamba:-
  • Je mawazo yetu yanaweza kuwa congruent at least kwa 70%? (sijui Kiswahili cha hilo neno congruent). Tunaweza kupanga na kutekeleza pamoja? Nikiomba ushauri kwake, je ni mshauri mwema?
  • Je mwenza ana idea za kimaendeleo? Mfano, ushauri wake kuhusu miradi, ujenzi, elimu, welfare za familia nk.
Ni rahisi sana kujua mambo hayo kwa mwezni iwapo utakuwa nae kwa miezi isiyopungua 6.
 

umemaliza.! nimeyapenda maneno yako.
 
wanaume wanapenda kuingia katika ndoa na mke ambae hatamsumbua,na alie tulia,na mitaani inafahamika wanawake wazuri wengi hawajatulia
 

Ni vigumu kutoa jibu la moja kwa moja kwani uzuri uko katika jicho la mtazamaji; kwa mfano mimi mwanamke usyejua kifua, kiuno na ---- viko wapi hana mvuto kwangu.
 


we mkareeeeeee..!!!!
aksante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…