Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?

!
!
wife marterial....mie naangalia mchango wake katika kuvuruga furaha na ramani yangu yangu katika nyanja zote. Kama mchango wake mkubwa hafai na kama ni mdogo anafaa.
Lakini muhimu pia ni kwamba na mimi nikoujiangalia nadhani bado sina sifa za kuwa mme wa mtu.
 
mke mwenzangu tema mate chini/mwenzio akinyolewa we tia maji/mwenzio akilia we tulia...huyu mume wetu hatujui kama atatuoa au vipi....mi sitii neno hapo

Salama lakin?
Sasa mnamuitaje mume kumbe hajawaoa semeni ni hawara
 

Je wewe umeolewa??
 
...its hard to tell,ila all i know kilamtu anainterest zake...
 
Mke haangaliwi sura au umbo inekuwa hivyo wenye maumbo mazuri wangeringa sana,mwanamke mwenye mtazamo wa kujenga familia,mwenye kujal,asiye mbinafsi,mcha Mungu
 
Unaweza kujiongezea vitavyotazamwa km huna?@wadada
 

Nakuunga mkono 100% ni kweli lazima mwanaume kuwa selective,mwanamke wa kuoa tunazingatia TABIA,na si kwa umaarufu wa kujua viwanja na kujiachia nusu uchi...
 
kuna dada mmoja ni mrembo haswa pale chuo, nilimtamkia na kupenda si akaniganda, mwisho wa siku ananiuliza utanioa? wakati anaona na pete kubwa kidoleni. nikamwambia haiwezekani akaniuliza kwan mimi sinahaki ya kuolewa jamani? nakasoro gani?
 
Personally huwa naangalia na aina ya mtu, kuna wanawake wengine ni wazuri lakini unaona kabisa ukiweka ndani ni majanga, wana mambo mengi...so utulivu unahusika, kama kila weekend mtu hakauki samakisamaki na vile vinguo vinavyoonyesha pichu na vinyonyea basi hamna mwanaume atakejitoa mhanga kuweka ndani type kama hizo. Siri moja wa wanaume wengi, hata tuwe waruwaru vp lakini tunahitaji wanawake watulivu...when it comes to a wife, beauty is just a bonus...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Binafsi naangalia anayefit my shoes mfano kama mimi ni bikira na yeye awe hivyo pia plus hulka ya nafsi yake kama utashi wake,imani yake,sura yake,umbo lake,rangi yake n.k. Kwa ujumla awe ananivutia in and out,hapo kwa kweeeli Yesu akirudi, atanikuta naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…