Nifundishe na mimi basi jamanNimetulia sana
Basi tufanye njoo tukae iwe kipimo!!Ndoa haina majaribio
Basi tufanye njoo tukae iwe kipimo!!
Nifundishe na mimi basi jaman
Labda ujaribu mwenzangu mi kanichinjia baharini..mmh mke mwenza Nokia yupo serious ujue,basi mimi nakuachia mme hlf nakua na Nokia nikamdekeze kwanza...
Hufundishwi hii kitu inakuea automatically kwny maisha yako
Haahaaa kama upendwi wewe unadhani wote .....jipange hii ndo jf mkuuMkuu kuwa makini na magoma ya humu...magumegume kibao
Mkuu kuwa makini na magoma ya humu...magumegume kibao
mmh mke mwenza Nokia yupo serious ujue,basi mimi nakuachia mme hlf nakua na Nokia nikamdekeze kwanza...
we ulinibebaga tu,hata sijui uliangalia nini...